MBUNGE WA ILALA MUSSA ZUNGU AKAGUA UJENZI WA BARABARA ZA OLYMPIO NA MFAUME, UPANGA MASHARIKI, DAR ES SALAAM, LEO

MBUNGE WA ILALA MUSSA ZUNGU AKAGUA UJENZI WA BARABARA ZA OLYMPIO NA MFAUME, UPANGA MASHARIKI, DAR ES SALAAM, LEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE WA ILALA MUSSA ZUNGU AKAGUA UJENZI WA BARABARA ZA OLYMPIO NA MFAUME, UPANGA MASHARIKI, DAR ES SALAAM, LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE WA ILALA MUSSA ZUNGU AKAGUA UJENZI WA BARABARA ZA OLYMPIO NA MFAUME, UPANGA MASHARIKI, DAR ES SALAAM, LEO
kiungo : MBUNGE WA ILALA MUSSA ZUNGU AKAGUA UJENZI WA BARABARA ZA OLYMPIO NA MFAUME, UPANGA MASHARIKI, DAR ES SALAAM, LEO

soma pia


MBUNGE WA ILALA MUSSA ZUNGU AKAGUA UJENZI WA BARABARA ZA OLYMPIO NA MFAUME, UPANGA MASHARIKI, DAR ES SALAAM, LEO


Mbunge wa Ilala Mussa Zungu (kushoto)

NA BASHIR NKOROMO

MBUNGE wa Ilala, Dar es Salaam, Mussa Azzan Zungu, amesema ameridhishwa na kiwango cha ujenzi wa Barabara ya Olympio, katika kata Upanga Mashariki, huku akilalamikia ujenzi wa Barabara ya Mtaa wa Mfaume ambayo ujenzi wake umekwama. 

Zungu amesema hayo leo alipokagua maendeleo ya ujuenzi wa barabara hizo ambazo zinajengwa kwa kiwango cha lami chini ya usimamizi na gharama za Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam.

"Kama mnavyoiona, barabara hii ya Olympio inayojengwa na kampuni ya kigeni ya China Railway Seventh Group (CRSG), imejengwa kwa kiwango kizuri kabisa, lakini hii ya Mtaa wa Mfaume yenye urefu wa mita 900, ambayo mkandarasi wake ni kampuni ya CASCO abayo ni ya mzawa mwenzetu 

imekwama kumalizika, Sasa tunamtafuta Mwenyekiti wa Halmashauri tujue nini hasa kimesababisha ujenzi wa barabara huu kukwama", amesema Zungu.

Amesema, wakati barabara ya Olympio yenye urefu wa mita 740  ujenzi wake umekamilika kwa kiwango kikubwa tangu Septemba 30, mwaka huu, ujenzi wa barabara ya  Mfaume umekwama hadi sasa kutokana na Mkandarasi kusimamishwa kuendelea kutokana na kuonekana anaijenga kwa viwango vya chini.

Wakala wa Ujenzi wa barabara ya Olympio kutoka kampuni ya CRSG Zhou Cunfei, alisema licha ya ujenzi kukamilika kwa asilimia 95, kampuni hiyo inamalizia sehemu chache zilizobaki na inainatarajia kuikabidhi rasmi Januari 2, mwakani.

  Mbunge wa Ilala Mussa Azan Zungu akikagua ujenzi wa Barabara ya Olympio, Upanga Mashariki jijini Dar es Salaam, leo. Wapili kulia ni Wakala wa Ujenzi wa barabara hiyo kutoka kampuni ya CRSG ya China, Zhou Cunfei



Hivyo makala MBUNGE WA ILALA MUSSA ZUNGU AKAGUA UJENZI WA BARABARA ZA OLYMPIO NA MFAUME, UPANGA MASHARIKI, DAR ES SALAAM, LEO

yaani makala yote MBUNGE WA ILALA MUSSA ZUNGU AKAGUA UJENZI WA BARABARA ZA OLYMPIO NA MFAUME, UPANGA MASHARIKI, DAR ES SALAAM, LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA ILALA MUSSA ZUNGU AKAGUA UJENZI WA BARABARA ZA OLYMPIO NA MFAUME, UPANGA MASHARIKI, DAR ES SALAAM, LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/mbunge-wa-ilala-mussa-zungu-akagua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBUNGE WA ILALA MUSSA ZUNGU AKAGUA UJENZI WA BARABARA ZA OLYMPIO NA MFAUME, UPANGA MASHARIKI, DAR ES SALAAM, LEO"

Post a Comment