WANAWAKE CHEMBA WAHIMIZWA KUTUMIA VEMA FURSA WANAZOZIPATA KATIKA JAMII

WANAWAKE CHEMBA WAHIMIZWA KUTUMIA VEMA FURSA WANAZOZIPATA KATIKA JAMII - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANAWAKE CHEMBA WAHIMIZWA KUTUMIA VEMA FURSA WANAZOZIPATA KATIKA JAMII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANAWAKE CHEMBA WAHIMIZWA KUTUMIA VEMA FURSA WANAZOZIPATA KATIKA JAMII
kiungo : WANAWAKE CHEMBA WAHIMIZWA KUTUMIA VEMA FURSA WANAZOZIPATA KATIKA JAMII

soma pia


WANAWAKE CHEMBA WAHIMIZWA KUTUMIA VEMA FURSA WANAZOZIPATA KATIKA JAMII


Na Shani Amanzi, Chemba.

OFIS Maendeleo ya Jamii wa Wilaya ya Chemba mkoani Singida Mwatumu Doso amewataka wanawake watumie vema fursa wanazozipata kwa kuwa wao ndiyo kioo katika jamii hasa katika nyadhifa mbalimbali ikiwemo za uongozi wanazopewa katika jamii.

Doso ametoa kauli hiyo kwenye ufungaji wa Mafunzo ya Uongozi yaliyofanyika kwa siku mbili kuanzia Juni 19 hadi Juni ,mwaka huu wilayani Chemba.Mwatumu amesema "kwa muda wa miongo kadhaa iliyopita,wanawake wametokea kuwa wenye juhudi nyingi katika masuala ya jamii zao.

"Lakini kumekuwepo na changamoto mbalimbali zinazowakwamisha ndiyo maana Serikali pamoja na Sekta Binafsi zinajitahidi kuwashika mikono wanawake ili wapate maendeleo."

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Shirika la UFUNDIKO (Ufundi na Uhandisi Kongwa) Saidi Panga amesema lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo wanawake katika uongozi bora na kujua majukumu yao ya msingi katika Uongozi na kuweza kujua uhusiano uliopo kati ya Viongozi na Wanaongozwa.

"Uongozi usio rasmi mahali popote una umuhimu wake na viongozi wanapotenda shughuli zao hivyo kiongozi anawajibu wa kutambua kuwepo kwa taasisi zisizo rasmi."Na kufanya kila njia kuzitumia katika kufanikisha malengo yake au ya Halmashauri kwa hiyo ni wajibu wa Viongozi kutumia njia sahihi za Uongozi,"amesema Panga.

Katika mafunzo hayo yalishirikisha vijiji 12 ambavyo ni Tandala,Kidoka,Mondo,Goima ,Kilema Balai,Lahoda,Lalta,Jangalo,Kwamtoro,Gwandi,Mrijo Chini na Makorongo ambapo katika kila kijiji kilileta wahusika wanawake watano ambapo wapo kwenye makundi matatu likiwemo kundi la kwanza wahusika watatu kutoka kamati ya maji ya kijiji ,kundi la pili ni Muuguzi wa Zahanati na kundi la tatu Kiongozi mmoja wa kijiji.
Picha ya pamoja ya Washiriki wa Mafunzo wakiwa na Mwezeshaji wao Mkurugenzi wa Shirika la UFUNDIKO (Ufundi na Uhandisi Kongwa) Saidi Panga .




Hivyo makala WANAWAKE CHEMBA WAHIMIZWA KUTUMIA VEMA FURSA WANAZOZIPATA KATIKA JAMII

yaani makala yote WANAWAKE CHEMBA WAHIMIZWA KUTUMIA VEMA FURSA WANAZOZIPATA KATIKA JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANAWAKE CHEMBA WAHIMIZWA KUTUMIA VEMA FURSA WANAZOZIPATA KATIKA JAMII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/wanawake-chemba-wahimizwa-kutumia-vema.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANAWAKE CHEMBA WAHIMIZWA KUTUMIA VEMA FURSA WANAZOZIPATA KATIKA JAMII"

Post a Comment