KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA

KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA
kiungo : KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA

soma pia


KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA

Katibu Mkuu Ikulu, Alphayo Kidata akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Ikulu baada ya matembezi ya kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere yaliyoanzia Ikulu mpaka katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam leo ikiwa pia ni siku ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru.
Baadhi ya wafanyakazi wa Ikulu wakimsikiliza Katibu Mkuu Alphayo Kidata baada ya matembezi ya kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu J.K Nyerere yaliyoanzia Ikulu mpaka katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam leo ikiwa pia ni siku ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru.
Mazoezi ya viungo yakiendelea.


Hivyo makala KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA

yaani makala yote KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/katibu-mkuu-ikulu-aongoza-matembezi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KATIBU MKUU IKULU AONGOZA MATEMBEZI YA KUMUENZI BABA WA TAIFA"

Post a Comment