BENKI YA CRDB YATOA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI WA DODOMA

BENKI YA CRDB YATOA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI WA DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA CRDB YATOA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI WA DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA CRDB YATOA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI WA DODOMA
kiungo : BENKI YA CRDB YATOA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI WA DODOMA

soma pia


BENKI YA CRDB YATOA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI WA DODOMA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa semina ya iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika mkoani Dodoma, mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Dodoma, Rehema Hamis, akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei kufungua semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja. (Picha na Francis Dande).
Mkuu wa Kitengo cha Wajasiriamali Benki ya CRDB, Elibariki Masuke (kushoto), akiwa katika semina hiyo.
Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika semina hiyo.



Hivyo makala BENKI YA CRDB YATOA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI WA DODOMA

yaani makala yote BENKI YA CRDB YATOA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI WA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB YATOA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI WA DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/benki-ya-crdb-yatoa-semina-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BENKI YA CRDB YATOA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI WA DODOMA"

Post a Comment