TAHADHALI KAMA UMO JIANGALIE

TAHADHALI KAMA UMO JIANGALIE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAHADHALI KAMA UMO JIANGALIE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAHADHALI KAMA UMO JIANGALIE
kiungo : TAHADHALI KAMA UMO JIANGALIE

soma pia


TAHADHALI KAMA UMO JIANGALIE


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguka na kusema watu wanaojifanya kutaka kuandamana wataweza kufanya hivyo kipindi ambacho yeye hatakuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam au hakiwa ameondoka ila vinginevyo hawawezi kuthubutu kuandamana.

Makonda amesema hayo akiwa anahotubia kwenye moja ya mkutano uliofanyika Dar es Salaam na kusema kuwa watu wengine ambao wanapiga sana kelele kuhusu maandamano hayo na kutaka kuvuruga amani ya nchi ndiyo wanapata fedha nyingi kutoka wa wafadhili wao ambao hawataki Mkoa wa Dar es Salaam ubaki salama.

"Kuna kakundi hapa kanahangaika kweli usiku na mchana wengine wanahangaika kutumia mitandao ya kijamii kutukana viongozi, kuhamasisha sijui wanaita nini sijui maandamano nawapa pole sana, watafanya labda mimi nikiondoka nikiwa siyo Mkuu wa Mkoa .....kwenye huu Mkoa hiyo mipango mipango yao watafanya labda mimi nikiwa sipo lakini amani ya mkoa wa Dar es Salaam ni muhimu sana" alisemana kuongeza;

"Amani ni muhimu sana kuliko propaganda za kisiasa na niwaambieni tu wengine wakipiga kelele na kutokea kwenye 'front page' kwenye magazeti ndiyo wanapata mshahara zaidi, wanapata donor kutoka kwenye baadhi ya mataifa yasiyotakia amani taifa letu kwa hiyo lazima tujue tunaye adui tunayeishi naye kama Mtanzania lakini amebeba majukumu ya mataifa yasiyoitakia amani taifa letu" alisisitiza Makonda


Hivyo makala TAHADHALI KAMA UMO JIANGALIE

yaani makala yote TAHADHALI KAMA UMO JIANGALIE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAHADHALI KAMA UMO JIANGALIE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/tahadhali-kama-umo-jiangalie.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAHADHALI KAMA UMO JIANGALIE"

Post a Comment