title : ZITTO KABWE AHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE LEO
kiungo : ZITTO KABWE AHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE LEO
ZITTO KABWE AHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE LEO
Mbunge wa Kigoma Mjini Mheshimiwa Zitto Kabwe akitoa maelezo mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge leo mjini Dodoma mbunge huyo alipoitwa kuhojiwa juu ya Shutma za kudharau Mhimili wa Bunge. (Picha Ofisi ya Bunge)
Mweyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge Mheshimiwa Kapteni Mstaafu George Mkuchika akiongoza Mahojiano ya Kamati hiyo leo Bungeni Mjini Dodoma ambapo Mheshimiwa Zitto kabwe aliitwa kuhojiwa juu ya shutma za kudharau Mamlaka ya Bunge.
Hivyo makala ZITTO KABWE AHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE LEO
yaani makala yote ZITTO KABWE AHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZITTO KABWE AHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/zitto-kabwe-ahojiwa-na-kamati-ya-bunge.html
0 Response to "ZITTO KABWE AHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE LEO"
Post a Comment