title : MASHINDANO YA CBA KOMBE LA MWENYEKITI YAFANA
kiungo : MASHINDANO YA CBA KOMBE LA MWENYEKITI YAFANA
MASHINDANO YA CBA KOMBE LA MWENYEKITI YAFANA
Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa benki ya CBA, Salomon Kawiche (kulia ) akisisitiza jambo kwa baadhi ya wafanyakazi wenzake wakati wa michuano ya Mashindano ya Kombe la CBA Golf Mwenyekiti yaliyothaminiwa na benki hiyo ,yaliyofanyika kwenye viwanja vya Lugalo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa benki ya CBA,Dkt. Gift Shoko (katikati)akiongea na wa chezaji wenzake wa Golf Dkt. Edmond Mndolwa (Kushoto) na Joseph Marwa (kulia)wakati wa michuano ya Mashindano ya CBA Golf ya Kombe la Mwenyekiti yaliyodhaminiwa na benki hiyo,yaliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya Lugalo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa benki ya CBA ,Dkt.Gift Shoko(wapilia kushoto) pamoja na baadhi ya viongozi wa Golf klabu ya Lugalo wakimshuhudia mwanamuziki mkongwe wa bendi ya Mark band, Rashidi Pembe akionyesha umahiri wake kwenye hafla ya kuwapongeza washiriki wa mashindano ya CBA Kombe la Mwenyekiti,yaliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya golf vya Lugalo jijini Dar es Salaam.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Hivyo makala MASHINDANO YA CBA KOMBE LA MWENYEKITI YAFANA
yaani makala yote MASHINDANO YA CBA KOMBE LA MWENYEKITI YAFANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MASHINDANO YA CBA KOMBE LA MWENYEKITI YAFANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mashindano-ya-cba-kombe-la-mwenyekiti.html
0 Response to "MASHINDANO YA CBA KOMBE LA MWENYEKITI YAFANA"
Post a Comment