title : WAZIRI UMMY -SERIKALI IPO TAYARI KUGHARAMIA MATIBABU YA MBUNGE LISSU MAHALI POPOTE DUNIANI
kiungo : WAZIRI UMMY -SERIKALI IPO TAYARI KUGHARAMIA MATIBABU YA MBUNGE LISSU MAHALI POPOTE DUNIANI
WAZIRI UMMY -SERIKALI IPO TAYARI KUGHARAMIA MATIBABU YA MBUNGE LISSU MAHALI POPOTE DUNIANI
SERIKALI imesema kuwa ipo tayari kuingia kugharama zozote ili kumpeleka kwenye matibabu mahali popote duniani Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Tundu Lissu iwapo watapokea maombi kutoka kwa ndugu na familia yatakaothibitishwa na daktari kuwa anahitaji huduma ya madaktari wa bingwa zaidi.
Akitaka apelekwe Marekani,Ujerumani na mahali mengine ikiwemo India tunaweza kumpeleka iwapo watapeleka maombi kwa serikali kutaka ifanye hivyo ili kuhakikisha anapata matibabu stahiki.
Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu katika mkutano wake na waandishi wa habari mjini Tanga ambapo alisema wakipita maombi watatekeleza suala hilo haraka iwezekanavyo.
"Serikali haitakataa wala kushindwa kumuhudumia Tindu Lissu yeye ni Mtanzania kama wanavyohudumiwa wengine hivyo wao wapo tayari kuhakikisha anapata matibabu bora nje ya nchi "Alisema .Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa habari jijini Tanga wakati akitangaza kuwa serikali ipo tayari kumpeleka kwenye matibabu mahali popote duniani mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Tundu Lisu.
Hivyo makala WAZIRI UMMY -SERIKALI IPO TAYARI KUGHARAMIA MATIBABU YA MBUNGE LISSU MAHALI POPOTE DUNIANI
yaani makala yote WAZIRI UMMY -SERIKALI IPO TAYARI KUGHARAMIA MATIBABU YA MBUNGE LISSU MAHALI POPOTE DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI UMMY -SERIKALI IPO TAYARI KUGHARAMIA MATIBABU YA MBUNGE LISSU MAHALI POPOTE DUNIANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/waziri-ummy-serikali-ipo-tayari.html
0 Response to "WAZIRI UMMY -SERIKALI IPO TAYARI KUGHARAMIA MATIBABU YA MBUNGE LISSU MAHALI POPOTE DUNIANI"
Post a Comment