TIMU YA NDANDA YAULA, YAPATA UDHAMINI WA MWAKA MMOJA

TIMU YA NDANDA YAULA, YAPATA UDHAMINI WA MWAKA MMOJA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TIMU YA NDANDA YAULA, YAPATA UDHAMINI WA MWAKA MMOJA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TIMU YA NDANDA YAULA, YAPATA UDHAMINI WA MWAKA MMOJA
kiungo : TIMU YA NDANDA YAULA, YAPATA UDHAMINI WA MWAKA MMOJA

soma pia


TIMU YA NDANDA YAULA, YAPATA UDHAMINI WA MWAKA MMOJA

Mshauri wa Klabu ya Ndanda katika masuala ya biashara Peter Simon na afisa masoko Motisun Group, Erhard Mlyansi wakibadilishana na hati ya mkataba wa udhamini wa mwaka mmoja wa klabu hiyo kupitia bidhaa yake zenye chapa ya Kiboko.

Klabu ya Ndanda imesaini mkataba wa mwaka mmoja wa udhamini na kampuni ya Motisun Group ambao ni watengenezaji wa bidhaa zenye chapa ya Kiboko. 

Kwa mujibu wa afisa masoko Motisun Group, Erhard Mlyansi amesema thamani ya mkataba huo inakaribia ile ya mdhamini mkuu wa ligi kuu Tanzania bara. 

“Tumesaini mkataba wenye thamani kubwa lakini hatuta weka wazi ni kiasi gani cha pesa. Udhamini wetu kwa Ndanda utakuwa ukikaribiana na wa mdhamini mkuu wa ligi kuu Tanzania bara,”amesema Mlyansi. 

"Kikubwa wanataka kuona timu ikipata matokeo mazuri na kuleta ushindani mkubwa na hatutaki kuona migogoro katika timu, ". 

“Tumeingia mkataba wa mwaka mmoja lakini kutokana na mahusiano yaliyopo tutakuwa tukipokea maombi kutoka Ndanda juu ya mahitaji yao na kufanyia kazi yale tutakayoona tunayaweza,”amesema. 

Mshauri wa Ndanda katika masuala ya biashara Bw. Peter Simon amesema, watahakikisha Motisun wanapata nafasi ya kujitangaza kupitia Ndanda SC. 

“Sisi Ndanda tutawapa Motisun Group nafasi ya kujitangaza kupitia mabango ambayo yatawekwa kwenye uwanja wetu wa yumbani.” 
Mshauri wa Klabu ya Ndanda katika masuala ya biashara Peter Simon (kushoto) sambamba na afisa masoko Motisun Group, Erhard Mlyansi wakisaini mkataba wa udhamini wa mwaka mmoja kupitia kwa bidhaa zenye chapa ya Kiboko.


Hivyo makala TIMU YA NDANDA YAULA, YAPATA UDHAMINI WA MWAKA MMOJA

yaani makala yote TIMU YA NDANDA YAULA, YAPATA UDHAMINI WA MWAKA MMOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TIMU YA NDANDA YAULA, YAPATA UDHAMINI WA MWAKA MMOJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/timu-ya-ndanda-yaula-yapata-udhamini-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TIMU YA NDANDA YAULA, YAPATA UDHAMINI WA MWAKA MMOJA"

Post a Comment