'Kuna Mtu Amelipwa Pesa ili Aniue' -Saida Karoli

'Kuna Mtu Amelipwa Pesa ili Aniue' -Saida Karoli - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa 'Kuna Mtu Amelipwa Pesa ili Aniue' -Saida Karoli, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : 'Kuna Mtu Amelipwa Pesa ili Aniue' -Saida Karoli
kiungo : 'Kuna Mtu Amelipwa Pesa ili Aniue' -Saida Karoli

soma pia


'Kuna Mtu Amelipwa Pesa ili Aniue' -Saida Karoli


http://ift.tt/2uXGDLv
Ikiwa imepita miezi miwili toka msanii wa nyimbo za asili Tanzania Said Karoli arudi rasmi kwenye muziki na kuachia kazi zake mbili zilizopata mafanikio na kuwafikia watu wengi zaidi ameibuka na kudai watu wameanza kumpiga vita kishirikina na wanataka kumuua

Said Karoli ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Orugambo' amedai kuwa ushirikina upo na watu wanampiga vita ili aweze kupotea tena kwenye muziki kama ilivyotokea kipindi cha nyuma na kudai kuna mtu amelipwa pesa ili amuuwe kabisa jambo lililopelekea kuahirisha baadhi ya show zake.

"Huyo mtu alinielekeza watu kadhaa ambao wamepanga mpango wa kuniua aliniambia, sasa mimi nimeshalipwa nikuuwe nikuondoe duniani kabisa yaani kabla ya kufika Mwanza, Geita tena bora hata hizi show zingine uvunje, kweli ramani aliyonipa nilichoka ikabidi show zingine za Bukoba tumezivunja tukasema ngoja tutulie kwanza tuone nini kitaendelea" alisema Said Karoli

Saida Karoli anakiri wazi kuwa suala la ushirikiana lipo na kwake si jambo la ajabu kumtokea kwani tayari ameshakutana na mambo ya namna hiyo sana na kudai yeye anamtegemea Mungu na kumuomba Mungu.


Hivyo makala 'Kuna Mtu Amelipwa Pesa ili Aniue' -Saida Karoli

yaani makala yote 'Kuna Mtu Amelipwa Pesa ili Aniue' -Saida Karoli Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala 'Kuna Mtu Amelipwa Pesa ili Aniue' -Saida Karoli mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/kuna-mtu-amelipwa-pesa-ili-aniue-saida.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "'Kuna Mtu Amelipwa Pesa ili Aniue' -Saida Karoli"

Post a Comment