WATUHUMIWA KESI YA MENO YA TEMBO WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA KWA UPELELEI WA KESI YAO

WATUHUMIWA KESI YA MENO YA TEMBO WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA KWA UPELELEI WA KESI YAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATUHUMIWA KESI YA MENO YA TEMBO WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA KWA UPELELEI WA KESI YAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATUHUMIWA KESI YA MENO YA TEMBO WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA KWA UPELELEI WA KESI YAO
kiungo : WATUHUMIWA KESI YA MENO YA TEMBO WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA KWA UPELELEI WA KESI YAO

soma pia


WATUHUMIWA KESI YA MENO YA TEMBO WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA KWA UPELELEI WA KESI YAO

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaambia washtakiwa sita wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya meno ya tembo  akiwemo mfanyabiashara Yusuf Yusuf (34) maarufu ‘Mpemba’, kuelekeza lawama zao juu ya upelelezi kuchelewa kukamilika kwa mawakili wanaowatetea siyo wa Serikali tu.

Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba amesema hayo mapema leo asubuhi wakati kesi hiyo ya uhujumu uchumi ilipofika kwa ajili ya kutajwa ambapo Wakili Wa serikali alidai jalada. 

Wakili Wa Serikali Elia Athanas alidai kuwa taarifa walizopeleka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ambazo awali zilikosewa, walizifanyia marekebisho lakini bado hazijarudishwa ili waweze kuwasomea washtakiwa maelezo ya mashahidi (Committal.)

Hata hivyo, washtakiwa wamelalamika na kudai kuwa kila wakija wanaambiwa jalada halipo, ndipo hakimu akawashauri wawalalamikie pia mawakili wanaowatetea na siyo wa upande wa serikali tu kwani na wao wamekuwa wakikaa kimya tu. 

"Muwe mnawalalamikia na mawakili wenu pia siyo wa Serikali tu, ili hii kesi iweze kwenda kwa haraka", amesema Simba

Kesi hiyo imahirishwa hadi Octoba 10 kwa ajili ya kutajwa

Mbali na mpemba, washtakiwa ni Charles Mrutu (37) mkazi wa Mlimba, Morogoro, Benedict Kungwa (40) mkazi wa Mbagala Chamazi, Jumanne Chima (30) mkazi wa Mbezi, Ahmed Nyagongo (33) dereva na Pius Kulagwa (46) 

Wote wanakabiliwa na mashitaka manne ya kujihusisha na biashara ya meno ya tembo yenye thamani ya Sh milioni 785.6.


Hivyo makala WATUHUMIWA KESI YA MENO YA TEMBO WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA KWA UPELELEI WA KESI YAO

yaani makala yote WATUHUMIWA KESI YA MENO YA TEMBO WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA KWA UPELELEI WA KESI YAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATUHUMIWA KESI YA MENO YA TEMBO WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA KWA UPELELEI WA KESI YAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/watuhumiwa-kesi-ya-meno-ya-tembo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATUHUMIWA KESI YA MENO YA TEMBO WALALAMIKIA KUCHELEWESHWA KWA UPELELEI WA KESI YAO"

Post a Comment