Meno ya tembo yamtupa jela miaka 20

Meno ya tembo yamtupa jela miaka 20 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Meno ya tembo yamtupa jela miaka 20, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Meno ya tembo yamtupa jela miaka 20
kiungo : Meno ya tembo yamtupa jela miaka 20

soma pia


Meno ya tembo yamtupa jela miaka 20

Na Karama Kenyunko- blogu ya jamii.

Mkulima mmoja Samwel Nicodem Bwandu 38, amehukumiwa kwenda jela miaka 20 baada kupatikana na hatia ya kukutwa na vipande nane vya meno ya tembo vyenye thamani ya milioni 60.

Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shahidi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Akisoma Hukumu, huyo hakimu shahidi amesema kuwa, upande wa mashtaka umeweza kuthibitisha mashtaka bila ya kuacha shaka kuwa kweli Bwandu alikutwa na meno ya tembo lakini haukuweza kuthibitisha kuwa alikuwa akijihusisha na biashara hiyo.

Hata hivyo, mahakama hiyo,imemuachia huru Kidamisi Kidarageda Kidiwami, Mkazi wa Iringa baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake kuwa alihusika katika tuhuma hizo za meno ya tembo.

Watuhumiwa wote wawili, Bwandu na Kidawami walikuwa wakituhumiwa kwa makosa ya kupatikana na nyara za serikali ambazo ni vipande nane vya meno ya tembo vyenye thamank ya milioni 600 na Kijihusisha na nyara hizo zenye thamani ya milioni 900.

Hakimu Shahidi amesema, amezingatia ushahidi wote uliotolewa na upande wa mashtaka na utetezi wa washtakiwa na kuridhika kwamba mshtakiwa Kidawami hakuhusika katika kutenda makosa hayo.

"Hakuna shahidi yeyote aliyefika mahakamani hapo na kuthibitisha kuwa mshtakiwa wa Kidawami alihusika na tuhuma hizo, isipokuwa shahidi namba tano ambaye nae alikuwa na ushahidi wa kusikia tu", amesema hakimu Shahidi"



Hivyo makala Meno ya tembo yamtupa jela miaka 20

yaani makala yote Meno ya tembo yamtupa jela miaka 20 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Meno ya tembo yamtupa jela miaka 20 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/meno-ya-tembo-yamtupa-jela-miaka-20.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Meno ya tembo yamtupa jela miaka 20"

Post a Comment