Bungeni : Yaliyojiri katika Kikao cha Kumi na Sita Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo

Bungeni : Yaliyojiri katika Kikao cha Kumi na Sita Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Bungeni : Yaliyojiri katika Kikao cha Kumi na Sita Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Bungeni : Yaliyojiri katika Kikao cha Kumi na Sita Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo
kiungo : Bungeni : Yaliyojiri katika Kikao cha Kumi na Sita Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo

soma pia


Bungeni : Yaliyojiri katika Kikao cha Kumi na Sita Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo






Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Angelina Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.

Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.

Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.

Mbunge wa Karagwe (CCM) Mhe.Innocent Bashungwa akiuliza swali kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Oliver Semuguruka akiuliza swali kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Eng.Ramo Makani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama,Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Hussein Mwinyi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira wakifurahia jambo katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.

Mbunge wa Bagamoyo(CCM) Mhe.Shukuru Kawambwa akiuliza swali kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.

Wabunge wa Chama cha Demokarasia na Maendeleo(CHADEMA) Wakijadili jambo wakati wa kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.

Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO,DODOMA


Hivyo makala Bungeni : Yaliyojiri katika Kikao cha Kumi na Sita Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo

yaani makala yote Bungeni : Yaliyojiri katika Kikao cha Kumi na Sita Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Bungeni : Yaliyojiri katika Kikao cha Kumi na Sita Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/bungeni-yaliyojiri-katika-kikao-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Bungeni : Yaliyojiri katika Kikao cha Kumi na Sita Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo"

Post a Comment