BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR

BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR
kiungo : BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR

soma pia


BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR

Mwambawahabari

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na wadau wa Habari kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani hapo katika Chuo cha Habari Kilimani Mjini Zanzibar. Kushoto ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh. Ayoub Mohamed Mahmoud, Katibu Mtendaji Baraza la Habari Tanzania Bw. Kajubi Mukajanga, kulia ya Balozi Seif ni Mkuu wa Chuo cha Habari Zanzibar Nd. Chande Omar na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo anayesimamia Habari Nd. Hassan Mitawi.


 Mkuu wa Chuo cha Habari Zanzibar Nd. Chande Omar Omar akitoa ufafanuzi juu ya Umuhimu wa Wanahabri kuzingatia suala la Amani katika uandishi wao wa kila siku.

 Viongozi wa Meza Kuu kutoka kulia Katibu Mtendaji wa MCT Bw. Kajubi Mukajanga, Mkuu wa Mkoa Mjini Maghribi Mh. Ayoub, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif, Mkuu wa Chuo cha Habari Zanzibar Nd. Chande na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Nd. Hassan Mitawi wakifuatilia hafla ya maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari hapo Kilimani.


 Kikundi cha Utamaduni cha Mkoa Mjini Magharibi kilitoa Burdani katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Habari hapo katika Ukumbi wa Chuo cha Habari Kilimani Mjini Zanzibar.




Hivyo makala BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR

yaani makala yote BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/balozi-seif-ali-iddi-aongoza-wadau_3.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BALOZI SEIF ALI IDDI AONGOZA WADAU HABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR"

Post a Comment