Taarifa ya CCM Kwa Vyombo vya Habari.

Taarifa ya CCM Kwa Vyombo vya Habari. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Taarifa ya CCM Kwa Vyombo vya Habari., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Taarifa ya CCM Kwa Vyombo vya Habari.
kiungo : Taarifa ya CCM Kwa Vyombo vya Habari.

soma pia


Taarifa ya CCM Kwa Vyombo vya Habari.

Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinatarajiwa kufanyika kesho Septemba 18 mwaka huu, chini ya Makamu  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein.

Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Katibu wa Kamati Maalum ya NEC Zanzibar wa Idara ya Itikadi na Uenezi Mhe. Waride Bakari Jabu,  imesema kikao hicho cha siku moja kitafanyika katika Ukumbi wa Afisi kuu ya CCM, Kisiwandui kuanzia saa 4:00 asubuhi.

Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kitapokea na kujadili kwa kina taarifa ya Hali ya Kisiasa ya Zanzibar pamoja na taarifa nyengine mbali mbali kutoka Idara na Vitengo vya Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, vile vile kikao hicho kitapokea na kujadili majina ya wana CCM waliojitokeza kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CCM katika ngazi za Wilaya kwa kipindi cha 2017-2022, kwa upande wa Zanzibar na kutoa mapendekezo yake kwa Halmashauri Kuu ya Taifa.

Kikao hicho kilitanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Kamati Maalum ya NEC - Zanzibar kilichofanyika Septemba 16, mwaka huu, chini ya Mwenyekiti wake Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dk.Abdulla Juma Saadalla “Mabodi”, kwa ajili ya kuandaa Ajenda za kikao hicho.


Hivyo makala Taarifa ya CCM Kwa Vyombo vya Habari.

yaani makala yote Taarifa ya CCM Kwa Vyombo vya Habari. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Taarifa ya CCM Kwa Vyombo vya Habari. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/taarifa-ya-ccm-kwa-vyombo-vya-habari.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Taarifa ya CCM Kwa Vyombo vya Habari."

Post a Comment