title : MBUNGE WA BUSANDA AKABIDHI VIFAA VYA OFISI KWENYE OFISI ZA CCM MKOA WA GEITA
kiungo : MBUNGE WA BUSANDA AKABIDHI VIFAA VYA OFISI KWENYE OFISI ZA CCM MKOA WA GEITA
MBUNGE WA BUSANDA AKABIDHI VIFAA VYA OFISI KWENYE OFISI ZA CCM MKOA WA GEITA
Mbunge wa Jimbo la Busanda Mkoani Geita,Lolesia Bukwimba akikabidhi komputa kwenye idara ya vijana na wanawake kwenye ofisi za chama cha mapinduzi “(CCM)Mkoani Geita.
Mbunge wa Jimbo la Busanda akikabidhi komputa kwa Katibu wa chama cha mapinduzi Wilaya ya Geita.
Mbunge wa Busanda Lolesia Bukwimba ameeleza kuwa vifaa ambavyo amekabidhi kwenye ofisi ya CCM ni kutokana na hali ngumu ambayo walikuwa wakikutana nayo ya upungufu wa vitendea kazi kwenye Ofisi za CCM. 
Nje ya ofisi za CCM Mkoa wa Geita.
PICHA ZOTE NA JOEL MADUKA WA MADUKA ONLINE
Hivyo makala MBUNGE WA BUSANDA AKABIDHI VIFAA VYA OFISI KWENYE OFISI ZA CCM MKOA WA GEITA
yaani makala yote MBUNGE WA BUSANDA AKABIDHI VIFAA VYA OFISI KWENYE OFISI ZA CCM MKOA WA GEITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA BUSANDA AKABIDHI VIFAA VYA OFISI KWENYE OFISI ZA CCM MKOA WA GEITA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mbunge-wa-busanda-akabidhi-vifaa-vya.html
0 Response to "MBUNGE WA BUSANDA AKABIDHI VIFAA VYA OFISI KWENYE OFISI ZA CCM MKOA WA GEITA"
Post a Comment