Rais Magufuli Atoa Milioni 260 kwa Ajili ya Ujenzi wa Nyumba za Polisi Zilizoungua Moto

Rais Magufuli Atoa Milioni 260 kwa Ajili ya Ujenzi wa Nyumba za Polisi Zilizoungua Moto - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli Atoa Milioni 260 kwa Ajili ya Ujenzi wa Nyumba za Polisi Zilizoungua Moto, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Magufuli Atoa Milioni 260 kwa Ajili ya Ujenzi wa Nyumba za Polisi Zilizoungua Moto
kiungo : Rais Magufuli Atoa Milioni 260 kwa Ajili ya Ujenzi wa Nyumba za Polisi Zilizoungua Moto

soma pia


Rais Magufuli Atoa Milioni 260 kwa Ajili ya Ujenzi wa Nyumba za Polisi Zilizoungua Moto

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewasili eneo la nyumba za polisi zilizoteketekea kwa moto.Nyumba hizo zilizopo Kata ya Sekei ziliteketea kwa moto jana Jumatano usiku.

IGP Sirro amesema Rais John Magufuli ametoa Sh260 milioni kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za kuishi askari hao.

Amesema Jeshi la Polisi kupitia bajeti yake limetoa Sh40 milioni kwa ajili ya ujenzi huo.

IGP Sirro amesema jeshi hilo pia litatoa Sh1 milioni kwa kila familia iliyoathiriwa na moto huo. Katika nyumba zilizoteketea familia 14 zilikuwa zikiishi.

Kiongozi huyo wa Jeshi la Polisi amesema Rais Magufuli ameagiza Wakala wa Majengo (TBA) kutoa jengo la kuwahifadhi askari hao wakati ujenzi wa nyumba ukifanyika.

Amewataka wananchi wenye nia njema kuzisaidia kwa chochote walichonacho familia za waliounguliwa mali zao.

IGP Sirro na ujumbe wake ameelekea Tengeru kukagua jengo la TBA watakalotumia kwa muda askari hao.


Hivyo makala Rais Magufuli Atoa Milioni 260 kwa Ajili ya Ujenzi wa Nyumba za Polisi Zilizoungua Moto

yaani makala yote Rais Magufuli Atoa Milioni 260 kwa Ajili ya Ujenzi wa Nyumba za Polisi Zilizoungua Moto Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli Atoa Milioni 260 kwa Ajili ya Ujenzi wa Nyumba za Polisi Zilizoungua Moto mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/rais-magufuli-atoa-milioni-260-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Magufuli Atoa Milioni 260 kwa Ajili ya Ujenzi wa Nyumba za Polisi Zilizoungua Moto"

Post a Comment