KAMPUNI ZA BIMA KURUHUSIWA KUSAJILI MAWAKALA KADRI YA UWEZO WAO, SERIKALI YAPUNGUZA MASHARTI

KAMPUNI ZA BIMA KURUHUSIWA KUSAJILI MAWAKALA KADRI YA UWEZO WAO, SERIKALI YAPUNGUZA MASHARTI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI ZA BIMA KURUHUSIWA KUSAJILI MAWAKALA KADRI YA UWEZO WAO, SERIKALI YAPUNGUZA MASHARTI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI ZA BIMA KURUHUSIWA KUSAJILI MAWAKALA KADRI YA UWEZO WAO, SERIKALI YAPUNGUZA MASHARTI
kiungo : KAMPUNI ZA BIMA KURUHUSIWA KUSAJILI MAWAKALA KADRI YA UWEZO WAO, SERIKALI YAPUNGUZA MASHARTI

soma pia


KAMPUNI ZA BIMA KURUHUSIWA KUSAJILI MAWAKALA KADRI YA UWEZO WAO, SERIKALI YAPUNGUZA MASHARTI

*Kamishna wa Bima nchini atoa ufafanuzi , aipongeza kampuni ya Sanlam kwa kutimiza miaka 100


Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

KAMISHNA wa Bima nchini Dk.Baghayo Saqware amesema kuanzia Agosti mwaka huu kampuni za bima nchini yataanza kusajili mawakala wa bima wao wenyewe kadri wanavyoweza huku mchakato wa ununuzi wa bima kwa njia ya kibenki ukiendelea.

Ametoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kutimiza miaka ya 100 ya kampuni ya bima ya Sanlam tangu kuanzishwa kwake.Hivyo mbali ya kuipongeza Sanlam kwa kutimiza miaka 100 akatumia nafasi hiyo kutoa majibu ya changamoto ambazo ziliwasilishwa kwake na Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Sanlam Ibrahim Kduma.

Kaduma pamoja na kuzungumzia mafanikio ya kampuni hiyo kwenye masuala ya bima ametaja changamoto tatu ambazo zinakwamisha sekta ya bima nchini.Changamoto hizo ni masharti magumu ya kusajili wakala wa bima, kuchelewa kwa mchakato wa benki kutumika kununua bima pamoja na kodi kubwa.

Hivyo Dk.Saqware amewahakikisha watoa huduma za bima nchini kuwa tayari yameandaliwa mabadiliko ya sheria na hivyo kampuni ya bima itakuwa na uwezo wa kusajili mawakala wengi kadri ya uwezo wao.

Kuhusu benki kufanya shughuli za bima Dk.Saqware amefafanua changamoto hiyo nayo itapata ufumbuzi hivi karibuni kwani hivi sasa wanaandaa kanuni na Agosti mwaka huu watazipeleka kwa wadau ili wazipitie na kisha kuanza kutumika bada ya kupata baraza za Waziri.

"Kuhusu benki kufanya shughuli za bima hili lilichekelewa kwasababu Benki Kuu Tanzania(BoT) ilikuwa inataka kujiridhisha na sas imekubali , hivyo ni changamoto ambayo kimsingi imepata ufumbuzi wake na kilichobaki ni kuandaliwa kwa kanuni ili benki nazo zitumike kwenye masuala haya ya bima"amesema.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Sanlam Life Insurance, Khamis Suleiman (wapili kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 100 ya kampuni hiyo.Hafla hiyo iliyofanyika jana usiku jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni ya Bima ya Sanlam Life Insurance Ibrahim Kaduma (kulia) pamoja na viongozi wengine akigonganisha glasi pamoja na wateja wa kampuni hiyo wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 100 ya Sanlam tangu kuanzishwa kwake. Wa tatu kushoto ni Kamishna wa Bima Dk Baghoyo Sakwale ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wateja waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 100 ya Kampuni ya Bima ya Sanlam Life Insurance ambayo imefanyika jijini Dar es Salaam ambapo pia wadau mbalimbali wa masuala ya bima walihudhuria.



Hivyo makala KAMPUNI ZA BIMA KURUHUSIWA KUSAJILI MAWAKALA KADRI YA UWEZO WAO, SERIKALI YAPUNGUZA MASHARTI

yaani makala yote KAMPUNI ZA BIMA KURUHUSIWA KUSAJILI MAWAKALA KADRI YA UWEZO WAO, SERIKALI YAPUNGUZA MASHARTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI ZA BIMA KURUHUSIWA KUSAJILI MAWAKALA KADRI YA UWEZO WAO, SERIKALI YAPUNGUZA MASHARTI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/kampuni-za-bima-kuruhusiwa-kusajili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMPUNI ZA BIMA KURUHUSIWA KUSAJILI MAWAKALA KADRI YA UWEZO WAO, SERIKALI YAPUNGUZA MASHARTI"

Post a Comment