Moto Wateketeza Nyumba za POLISI Jijini Arusha

Moto Wateketeza Nyumba za POLISI Jijini Arusha - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Moto Wateketeza Nyumba za POLISI Jijini Arusha, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Moto Wateketeza Nyumba za POLISI Jijini Arusha
kiungo : Moto Wateketeza Nyumba za POLISI Jijini Arusha

soma pia


Moto Wateketeza Nyumba za POLISI Jijini Arusha

Takribani familia 13 zenye jumla ya watu 44 za Polisi zimekosa makazi baada ya nyumba walizokuwa wakiishi kuteketea kwa moto jana usiku majira ya saa moja.

Nyumba hizo wanazoishi polisi zilizopo katika kata ya Sekei Jijini Arusha zimeeketea kwa moto na chanzo cha ajali hiyo kutajwa kuwa ni hitilafu ya umeme.

Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji mkoani Arusha, Andrew Komba alieleza kuwa kama siyo taarifa kuchelewa kulifika jeshi la zima moto, basi huenda wangeweza kuokoa mali nyingi zaidi.

“Tungefika mapema nusu ya nyumba zilizoteketea tungeziokoa,” amesema Komba.

Aidha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ambaye naye alifika katika eneo la tukio alilipongeza Jeshi la zima moto kwa juhudi kubwa walizozifanya kuuzima moto huo na kuokoa maisha ya watu pamoja na mali.

“Kuna Nyumba za watumishi wetu askari zimepata ajali ya kuungua moto. Nichukue fursa hii kuwapongeza jeshi la zima moto kwa juhudi kubwa ya kuhakikisha kuwa wamezima moto huu. Takribani familia 13 zimeathirika kutokana na ajali hii ambazo zina watu kama 44….. Taarifa za awali zinaeleza kuwa ajali hii imetokana na hitilafu ya umeme..,” alisema RC Gambo.

Naye Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amesema kuwa  tukio hilo ni janga, hivyo watakaa kuona ni kwa namna gani watawasaidia walioathiriwa.


Hivyo makala Moto Wateketeza Nyumba za POLISI Jijini Arusha

yaani makala yote Moto Wateketeza Nyumba za POLISI Jijini Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Moto Wateketeza Nyumba za POLISI Jijini Arusha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/moto-wateketeza-nyumba-za-polisi-jijini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Moto Wateketeza Nyumba za POLISI Jijini Arusha"

Post a Comment