KUZIONA TANZANITE, FALCONETS SH. 500 NA SH 1,000

KUZIONA TANZANITE, FALCONETS SH. 500 NA SH 1,000 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUZIONA TANZANITE, FALCONETS SH. 500 NA SH 1,000, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUZIONA TANZANITE, FALCONETS SH. 500 NA SH 1,000
kiungo : KUZIONA TANZANITE, FALCONETS SH. 500 NA SH 1,000

soma pia


KUZIONA TANZANITE, FALCONETS SH. 500 NA SH 1,000

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewapa fursa mashabiki wengi kuingia uwanjani kuishangilia timu ya taifa ya wanawake wenye umri wa chini ya miaka 20 ‘Tanzanite’ itakayocheza na Falconets ya Nigeria, Jumapili Oktoba mosi, mwaka huu. 
 TFF imetoa ofa katika kiingilio. Kiingilio kitakuwa ni Sh. 500 tu kwa mashabiki watakaoketi eneo la mzunguko huku kwa wale watakaokaa Jukwaa Kuu (VIP) watalipia Sh. 1,000 tu katika mchezo utakaofanyika Uwanja wa Azam ulioko Chamazi, Dar es Salaam. 
 “Lengo ni kuvutia mashabiki wengi wakaangalie soka la wanawake. Wakaingalie timu yetu. Wakaangalie uwezo wa timu yetu, waishangilie kwa nguvu zote,” amesema Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Kidao Wilfred. 
 Kocha wa Tanzanite, Sebastian Nkoma, amesema kwa namna alivyokiandaa kikosi chake ana imani kitaweza kupindua matokeo ya awali ambayo Tanzania kwa bahati mbaya ililala mabao 3-0 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Samuel Ogbemudian, ulioko Jimbo la Benin nchini Nigeria, wiki mbili zilizopita.


Hivyo makala KUZIONA TANZANITE, FALCONETS SH. 500 NA SH 1,000

yaani makala yote KUZIONA TANZANITE, FALCONETS SH. 500 NA SH 1,000 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUZIONA TANZANITE, FALCONETS SH. 500 NA SH 1,000 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/kuziona-tanzanite-falconets-sh-500-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUZIONA TANZANITE, FALCONETS SH. 500 NA SH 1,000"

Post a Comment