Okwi Akabidhiwa Hundi ya Milioni Moja Zawadi ya Mchezaji Bora Mwezi Augosti

Okwi Akabidhiwa Hundi ya Milioni Moja Zawadi ya Mchezaji Bora Mwezi Augosti - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Okwi Akabidhiwa Hundi ya Milioni Moja Zawadi ya Mchezaji Bora Mwezi Augosti, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Okwi Akabidhiwa Hundi ya Milioni Moja Zawadi ya Mchezaji Bora Mwezi Augosti
kiungo : Okwi Akabidhiwa Hundi ya Milioni Moja Zawadi ya Mchezaji Bora Mwezi Augosti

soma pia


Okwi Akabidhiwa Hundi ya Milioni Moja Zawadi ya Mchezaji Bora Mwezi Augosti

Okwi Akabidhiwa Hundi ya Milioni Moja Zawadi ya Mchezaji Bora Mwezi Augosti

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’ na klabu ya Simba, Emmanuel Arnold Okwi, amekabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi milioni moja ambayo ni zawadi yake ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi Agosti.

Mara baada ya kupokea mfano huo wa hundi Okwi amesema kuwa katika Ligi Kuu soka Tanzania Bara kuna wachezaji wengi ambao yeye kwa upande wake anavutiwa nao.

“Kwa Tanzania klabu nyingi zina wachezaji wazuri lakini nje ya Simba kuna mchezaji anaitwa Kamusoko ananivutia sana na Donald Ngoma pia”, amesema Emmanuel Okwi, ambaye amekuwa mchezaji bora wa mwezi Agost wa Vodacom Premier League ‘VPL’.

Maneno haya ameyasema Okwi baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya Tsh 1,000,000 na Meneja Chapa wa Vodacom Tanzania, Yvonne Maruma na Afisa Udhamini, Ibrahim Kaude. Tuambie mchezaji unayemkubali zaidi kwenye ligi.

Hadi sasa Okwi anaongoza katika msimamo wa wafungaji mabao ya Ligi Kuu ya VPL msimu huu kwa kuwa na jumla ya mabao 6 , huku wanaomfuatia wakiwa na mabao mawili.


Hivyo makala Okwi Akabidhiwa Hundi ya Milioni Moja Zawadi ya Mchezaji Bora Mwezi Augosti

yaani makala yote Okwi Akabidhiwa Hundi ya Milioni Moja Zawadi ya Mchezaji Bora Mwezi Augosti Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Okwi Akabidhiwa Hundi ya Milioni Moja Zawadi ya Mchezaji Bora Mwezi Augosti mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/okwi-akabidhiwa-hundi-ya-milioni-moja.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Okwi Akabidhiwa Hundi ya Milioni Moja Zawadi ya Mchezaji Bora Mwezi Augosti"

Post a Comment