Watanzania washauriwa kuchangamkia fursa ya kwenda kuhiji Israel

Watanzania washauriwa kuchangamkia fursa ya kwenda kuhiji Israel - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Watanzania washauriwa kuchangamkia fursa ya kwenda kuhiji Israel, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Watanzania washauriwa kuchangamkia fursa ya kwenda kuhiji Israel
kiungo : Watanzania washauriwa kuchangamkia fursa ya kwenda kuhiji Israel

soma pia


Watanzania washauriwa kuchangamkia fursa ya kwenda kuhiji Israel


 


Mwambawahabari

Watanzania  wameshauriwa kuchangamkia fursa ya kutembelea  maeneo matakatifu nchini Israel kwa gharama nafuu inayokadiriwa kuwa kati ya nafuu inayokadiriwa kuwa kati ya Dola za Kimarekani 1700 na 1800. 

 Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Bibi Devota Mdachi,  amesema jijini jana kuwa wadau wa utalii wa Israel wangependa kuona Watanzania wanatembelea Israel. 


Bibi Mdachi akiongozana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Aloyce Nzuki ambaye alikuwa kiongozi wa msafara,  walitembelea Israel kwa siku tatu, walikutana na na wadau wa sekta ya utalii na kuwaeleza  vivutio vilivyopo nchini.

“Tumetembelea maeneo mengi ya kiroho ikiwemo miji ya Nazareth na Jerusalem, wenyeji wetu wamenipa ujumbe kuwa wanahitaji Watanzania waende wakahiji katika maeneo hayo kwa bei nafuu inayokadiriwa kuwa kati ya Dola za Kimarekani 1700 na 1800. 

“Fursa hii ni nzuri tafadhali tusiiache kwa sababu mbali ya hija lakini kuna mambo mengi mengine.  Watakaokwenda watakutana na raia wa mataifa mengine watawauliza kuhusiana na Tanzania,  maana yake mtageuka mabalozi wetu na kuvutia watalii wengi zaidi,” alisema Bibi. Mdachi. 

Alibainisha kuwa kiasi hicho cha Dola 1700 au 1800 kinahusisha nauli ya kwenda na kurudi, malazi pamoja na ziara ya maeneo matakatifu ndani ya miji husika. 

“Kampuni ya Another World imeahidi ifikapo Agosti mwaka huu wataleta watalii kutoka Israel watakaotembelea maeneo ya Hifadhi ya Katavi, Mahale, Ngorongoro na Zanzibar. 

Mmiliki wa kampuni ya Another World, Bw Shlomo Carmel ameahidi kuleta watalii zaidi ya 2000 kati ya Agosti na Disemba mwaka huu.

Vilevile kuna wawekezaji katika sekta ya hoteli za viwango vya kimataifa wameahidi kuja kuwekeza nchini, kifupi imekuwa ni ziara yenye tija kwetu sote,” alibainisha Bibi. Mdachi


Hivyo makala Watanzania washauriwa kuchangamkia fursa ya kwenda kuhiji Israel

yaani makala yote Watanzania washauriwa kuchangamkia fursa ya kwenda kuhiji Israel Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Watanzania washauriwa kuchangamkia fursa ya kwenda kuhiji Israel mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/watanzania-washauriwa-kuchangamkia_27.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Watanzania washauriwa kuchangamkia fursa ya kwenda kuhiji Israel"

Post a Comment