Zari Ampa Onyo Diamond ‘Usinijaribu’

Zari Ampa Onyo Diamond ‘Usinijaribu’ - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Zari Ampa Onyo Diamond ‘Usinijaribu’, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Zari Ampa Onyo Diamond ‘Usinijaribu’
kiungo : Zari Ampa Onyo Diamond ‘Usinijaribu’

soma pia


Zari Ampa Onyo Diamond ‘Usinijaribu’


Rais wa WCB, Diamond Platnumz bado yupo kwenye kitimoto baada ya kuthibitisha kupata mtoto na mwanamitindo Hamisa Mobetto.

Hatua hiyo imechukua sura mpya baada ya Zari kujibu mapigo katika mtandao wa Snapchat akionya asihusishwe.

Awali katika maelezo yake mwanamuziki Diamond amesema ameshazungumza na mpenzi wake huyo kuhusiana na mtoto aliyezaa na Hamisa na kwamba ameelewa na hakuna tatizo tena.

Wakati Diamond akiendelea na mahojiano katika kituo cha Clouds FM, Zari aliandika katika mtandao huo akisema: “Hahahaha unajidanganya, unasema uongo kuhusu mimi kujua kuhusu michepuko yako, malizana na balaa ulilolianzisha. Mimi kunyamaza haimaanishi ni mpumbavu. Kuwa makini na maneno yako.”

 Aliendelea kuandika: “Inawezekana mimi ni mama wa watoto wako ndio maana nimeamua kunyamaza kimya. Labda ugoogle kuhusu ‘defamation of character law suit’, usinijaribu.”

Diamond alipoulizwa kuhusu kauli hizo amesema anamwelewa kwa kuwa kuna baadhi ya mambo hakumweleza na kwa mara ya kwanza huenda ameyasikia wakati huo.


Hivyo makala Zari Ampa Onyo Diamond ‘Usinijaribu’

yaani makala yote Zari Ampa Onyo Diamond ‘Usinijaribu’ Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Zari Ampa Onyo Diamond ‘Usinijaribu’ mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/zari-ampa-onyo-diamond-usinijaribu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Zari Ampa Onyo Diamond ‘Usinijaribu’"

Post a Comment