Wasanii na Viongozi Mbalimbali Watoa Yamoyoni Baada ya Diamondi Kuanika Ukweli wa Mambo Juu ya Mtoto Wake na Mobetto

Wasanii na Viongozi Mbalimbali Watoa Yamoyoni Baada ya Diamondi Kuanika Ukweli wa Mambo Juu ya Mtoto Wake na Mobetto - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wasanii na Viongozi Mbalimbali Watoa Yamoyoni Baada ya Diamondi Kuanika Ukweli wa Mambo Juu ya Mtoto Wake na Mobetto, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wasanii na Viongozi Mbalimbali Watoa Yamoyoni Baada ya Diamondi Kuanika Ukweli wa Mambo Juu ya Mtoto Wake na Mobetto
kiungo : Wasanii na Viongozi Mbalimbali Watoa Yamoyoni Baada ya Diamondi Kuanika Ukweli wa Mambo Juu ya Mtoto Wake na Mobetto

soma pia


Wasanii na Viongozi Mbalimbali Watoa Yamoyoni Baada ya Diamondi Kuanika Ukweli wa Mambo Juu ya Mtoto Wake na Mobetto

Wasanii na Viongozi Mbalimbali Watoa Yamoyoni Baada ya Diamondi Kuanika Ukweli wa Mambo Juu ya Mtoto Wake na Mobetto

Baadhi ya wasanii pamoja na viongozi nchini wametoa yaliyomo mioyoni baada ya msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuzungumza leo kuhusu uhusiano wake.

Baada ya msanii huyo kukiri kuwa amezaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto, baadhi ya wasanii maarufu pamoja na viongozi wameonyesha kumuunga mkono Diamond kutokana na kueleza ukweli.

“Thamani yako kwangu bado ni kubwa sana, kwani uwezo wako wa kupitia kwenye dhoruba na ukabaki imara na familia yako unaendelea kukupa heshima,” maneno yaliyoandikwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akiwa ameweka picha ya mwanadada Zari.

Zari ni mama wa watoto wawili wa Diamond ambaye anaishi naye kwa sasa.

Pia Mbunge wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule maarufu kama Profesa J ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram na Twitter akisema ukweli humweka mtu huru kweli kweli huku akiwa ameweka picha ya Diamond Platnumz.

Si hao tu waliofunguka kueleza hilo bali hata Haji S Manara ambaye ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba amempongeza Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuzungumza kiume.

Kwa upande wake Soggy Doggy Hunter amempongeza Diamond kwa kuongea yote na kuwa muwazi na kumuombea Mungu amsimamie.

Mkude Simba amenukuu maneno ya msanii huyo aliyosema “Mwanamke yeyote mwenye mtoto wangu na amlete siwezi kukataa damu kama kweli ni mtoto wangu.”


Hivyo makala Wasanii na Viongozi Mbalimbali Watoa Yamoyoni Baada ya Diamondi Kuanika Ukweli wa Mambo Juu ya Mtoto Wake na Mobetto

yaani makala yote Wasanii na Viongozi Mbalimbali Watoa Yamoyoni Baada ya Diamondi Kuanika Ukweli wa Mambo Juu ya Mtoto Wake na Mobetto Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wasanii na Viongozi Mbalimbali Watoa Yamoyoni Baada ya Diamondi Kuanika Ukweli wa Mambo Juu ya Mtoto Wake na Mobetto mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/wasanii-na-viongozi-mbalimbali-watoa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wasanii na Viongozi Mbalimbali Watoa Yamoyoni Baada ya Diamondi Kuanika Ukweli wa Mambo Juu ya Mtoto Wake na Mobetto"

Post a Comment