NYUMBA MOJA YA LUGUMI YAUZWA MAGOROFA MAWILI YAKOSA WANUNUZI

NYUMBA MOJA YA LUGUMI YAUZWA MAGOROFA MAWILI YAKOSA WANUNUZI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NYUMBA MOJA YA LUGUMI YAUZWA MAGOROFA MAWILI YAKOSA WANUNUZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NYUMBA MOJA YA LUGUMI YAUZWA MAGOROFA MAWILI YAKOSA WANUNUZI
kiungo : NYUMBA MOJA YA LUGUMI YAUZWA MAGOROFA MAWILI YAKOSA WANUNUZI

soma pia


NYUMBA MOJA YA LUGUMI YAUZWA MAGOROFA MAWILI YAKOSA WANUNUZI


Kampuni ya udalali ya YONO imesimamia shuguli za kuuzwa kwa mnada gorofa lililopo upanga mali ya kampuni ya Lugumi Enterprises Limited na kununuliwa na kampuni ya Al-Naeen Enterprises kwa shilingi Milioni 700.Mnada huo wa magorofa hayo na majengo mengine mawili ambayo yamekosa wateja kutokana na bei zake kuwa juu ukilinganisha na ukubwa wa jengo bado hayajapatiwa wateja.
Akizungumza wakati wa mnada huo, Mkurugenzi wa kampuni ya YONO Scolastica Kevela amesema kuwa Nyumba ambazo zimekosa wateja zinauzwa Shilingi Milioni 460 na zinapatikana eneo la Mbweni JKT Wilaya ya Kinondondi jijini Dar es Salaam.
Kampuni ya Lugumi Enterprises Limited inahusishwa na kashfa ya ubadhirifu wa fedha za serikali pamoja na kudaiwa kodi na TRA masuala ambayo yamepelekea kuuzwa kwa majengo hayo na kulipia kodi TRA.


Hivyo makala NYUMBA MOJA YA LUGUMI YAUZWA MAGOROFA MAWILI YAKOSA WANUNUZI

yaani makala yote NYUMBA MOJA YA LUGUMI YAUZWA MAGOROFA MAWILI YAKOSA WANUNUZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NYUMBA MOJA YA LUGUMI YAUZWA MAGOROFA MAWILI YAKOSA WANUNUZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/nyumba-moja-ya-lugumi-yauzwa-magorofa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NYUMBA MOJA YA LUGUMI YAUZWA MAGOROFA MAWILI YAKOSA WANUNUZI"

Post a Comment