Tunahitaji dakika 9 tu kuichapa Mbao FC – Manara

Tunahitaji dakika 9 tu kuichapa Mbao FC – Manara - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tunahitaji dakika 9 tu kuichapa Mbao FC – Manara, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tunahitaji dakika 9 tu kuichapa Mbao FC – Manara
kiungo : Tunahitaji dakika 9 tu kuichapa Mbao FC – Manara

soma pia


Tunahitaji dakika 9 tu kuichapa Mbao FC – Manara

Msemaji wa Klabu ya Simba SC, Haji Manara ameanza majigambo yake mapya kwa kuwaambia Mbao FC watatumia dakika tisa tu kuwaangamiza katika fainali za Kombe la FA, zinazotarajiwa kuchezwa Mei 28, katika uwanjwa wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Manara amebainisha hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kujigamba kuwa Simba wanawajua vizuri Mbao FC, na kusema walishawahi kuwafunga hapo awali katika uwanja wao wa nyumbani CCM Kirumba ndani ya dakika tisa tu.
“Kama Simba ili wachukua dakika tisa kuwafunga wababe wa Gongowazi (Yanga) pale kwao Kirumba, unadhani itatuchukua dakika ngapi katika mji wenye ‘Fans’ wengi zaidi wa Simba kumgalagaza ‘Ngariba’ wao, tutashinda kokote InshaAllah”. Aliandika Manara kupitia Instagram yake.
Kwa upande mwingine, timu itakayoweza kuibuka kidedea kwa ushindi dhidi ya mwenzake itaweza kupatiwa kitita cha Milioni 50 fedha taslimu za kitanzania kutoka kwa wadhamini wa mashindano hayo pamoja na kuiwakilisha nchi katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika linalosimamiwa na CAF.
BY HAMZA FUMO


Hivyo makala Tunahitaji dakika 9 tu kuichapa Mbao FC – Manara

yaani makala yote Tunahitaji dakika 9 tu kuichapa Mbao FC – Manara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tunahitaji dakika 9 tu kuichapa Mbao FC – Manara mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/tunahitaji-dakika-9-tu-kuichapa-mbao-fc.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Tunahitaji dakika 9 tu kuichapa Mbao FC – Manara"

Post a Comment