Lipumba amwagia sifa Jecha kufuta matokeo Zanzibar

Lipumba amwagia sifa Jecha kufuta matokeo Zanzibar - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Lipumba amwagia sifa Jecha kufuta matokeo Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Lipumba amwagia sifa Jecha kufuta matokeo Zanzibar
kiungo : Lipumba amwagia sifa Jecha kufuta matokeo Zanzibar

soma pia


Lipumba amwagia sifa Jecha kufuta matokeo Zanzibar


Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba, anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, amesema ni afadhali  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha aliyefuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar  kuliko Maalim Seif aliyejitangazia matokeo.


 Lipumba amesema, Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alifanya kosa kubwa  kujitangazia matokeo.


Lipumba anaendelea na mahojiano ya moja kwa moja yanayorushwa na televisheni ya Clouds.


Hivyo makala Lipumba amwagia sifa Jecha kufuta matokeo Zanzibar

yaani makala yote Lipumba amwagia sifa Jecha kufuta matokeo Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Lipumba amwagia sifa Jecha kufuta matokeo Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/lipumba-amwagia-sifa-jecha-kufuta.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Lipumba amwagia sifa Jecha kufuta matokeo Zanzibar"

Post a Comment