Hussein Machozi Asimulia Alivyofumaniwa na Mke wa Mtu na Kisha Kupewa Kichapo Nchini Kenya

Hussein Machozi Asimulia Alivyofumaniwa na Mke wa Mtu na Kisha Kupewa Kichapo Nchini Kenya - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Hussein Machozi Asimulia Alivyofumaniwa na Mke wa Mtu na Kisha Kupewa Kichapo Nchini Kenya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Hussein Machozi Asimulia Alivyofumaniwa na Mke wa Mtu na Kisha Kupewa Kichapo Nchini Kenya
kiungo : Hussein Machozi Asimulia Alivyofumaniwa na Mke wa Mtu na Kisha Kupewa Kichapo Nchini Kenya

soma pia


Hussein Machozi Asimulia Alivyofumaniwa na Mke wa Mtu na Kisha Kupewa Kichapo Nchini Kenya

Msanii Hussein Machozi ambaye sasa amerudi nchini kutoka nchini Italia amefunguka na kusimulia kisa chake cha kufumaniwa alivyokuwa Kenya na kusema kuwa kama asingekimbia huenda mambo yangekuwa mabaya kwake.

Hussein Machozi amesema hayo kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kudai kuwa yeye alikwenda Kenya kikazi na mtu ambaye alikuwa anawasiliana naye alikuwa ni binti aliyeandaa show yake Kenya, hivyo alipofika alimpokea Airport na kwenda naye hotel.

"Kwa hiyo tulipofika hotel tulikuwa tunapanga mipango ya hapa na pale, kumbe yule binti ana mshikaji wake ambaye ana wivu sana na yeye, hivyo yule jamaa alikuja na magari kama mawili yakiwa na mabaunsa kibao.
"Wakatuzunguka pale na kuanza kunipiga vibao ila nashukuru Mungu kuna baunsa mmoja pale pale alinishtua na kuniambia nikimbie, hivyo niliruka ukuta wa hotel na kukimbia. 
"Kwa hiyo wale wahudumu pale ndiyo walianza kusambaza habari kuwa nimefumaniwa ila nisingekimbia huenda ingekuwa mbaya kwangu" alisisitiza Hussein Machozi 

Mbali na hilo Hussein Machozi anasema alimua kwenda nchini Italia baada ya kuona muziki unampa mawazo hivyo Mungu akamfungulia mlango  mwingine na kuamua kusepa huko, ambako anadai anasoma na kufanya shughuli zingine zinazomuingizia kipato.


Hivyo makala Hussein Machozi Asimulia Alivyofumaniwa na Mke wa Mtu na Kisha Kupewa Kichapo Nchini Kenya

yaani makala yote Hussein Machozi Asimulia Alivyofumaniwa na Mke wa Mtu na Kisha Kupewa Kichapo Nchini Kenya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Hussein Machozi Asimulia Alivyofumaniwa na Mke wa Mtu na Kisha Kupewa Kichapo Nchini Kenya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/hussein-machozi-asimulia-alivyofumaniwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Hussein Machozi Asimulia Alivyofumaniwa na Mke wa Mtu na Kisha Kupewa Kichapo Nchini Kenya"

Post a Comment