NSSF Kuwaburuza Mahakamani Waahiri 126

NSSF Kuwaburuza Mahakamani Waahiri 126 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NSSF Kuwaburuza Mahakamani Waahiri 126, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NSSF Kuwaburuza Mahakamani Waahiri 126
kiungo : NSSF Kuwaburuza Mahakamani Waahiri 126

soma pia


NSSF Kuwaburuza Mahakamani Waahiri 126

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mkoa wa Arusha linatarajia kuwafikisha mahakamani waajiri 126 kwa kutowasilisha michango ya wafanyakazi wake kwa wakati.

Meneja wa NSSF Mkoa wa Arusha, Dk. Frank Maduga amesema  kuwa waajiri hao wameshindwa kuwasilisha michango hiyo kwa zaidi ya miezi sita ambayo ni zaidi ya Sh bilioni moja.

“Kati ya hao waajiri wakubwa ni 14, waajiri wa kati 69 na waajiri wadogo 53, ambapo wote walishapelekewa onyo la mwisho na taratibu za kuwafungulia mashitaka zimeshakamilika na wiki ijayo tunatarajia kuwafikisha mahakamani kwani kutokuwasilishwa kwa michango hiyo kumekuwa na madhara kwa wanachama na wategemezi wao."

Hata hivyo Dk. Maduga alikataa kutaja majina ya mashirika hayo ambapo amesema yatatajwa mahakamani wakati Mwanasheria Mkuu wa Serikali anaandaa hati za mashtaka.

Pamoja na mambo mengine, meneja huyo amesema kwa sasa shirika hilo limeingia mkataba na hospitali inayomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ya Selian, ambapo wanawake wajawazito ambao ni wanachama watapatiwa matibabu bure na kuwa wanatarajia kuingia mkataba na hospitali nyingine zaidi.


Hivyo makala NSSF Kuwaburuza Mahakamani Waahiri 126

yaani makala yote NSSF Kuwaburuza Mahakamani Waahiri 126 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NSSF Kuwaburuza Mahakamani Waahiri 126 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/nssf-kuwaburuza-mahakamani-waahiri-126.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NSSF Kuwaburuza Mahakamani Waahiri 126"

Post a Comment