Mchungaji Msigwa afikishwa mahakamani kwa Matusi na Kutishia Kuua

Mchungaji Msigwa afikishwa mahakamani kwa Matusi na Kutishia Kuua - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mchungaji Msigwa afikishwa mahakamani kwa Matusi na Kutishia Kuua, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mchungaji Msigwa afikishwa mahakamani kwa Matusi na Kutishia Kuua
kiungo : Mchungaji Msigwa afikishwa mahakamani kwa Matusi na Kutishia Kuua

soma pia


Mchungaji Msigwa afikishwa mahakamani kwa Matusi na Kutishia Kuua

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amepandishwa kizimbani leo Alhamisi katika Mahakama ya Mwanzo Mjini Iringa kwa madai ya kumtusi na kutishia kumuua aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kitwiru, Baraka Kimata.

Mbali na Msigwa pia Diwani wa Viti Maalum, Selestina Johanes na dereva wa mbunge huyo, Godi Mwaluka wamepandishwa kizimbani kwa kosa hilo.

Akisoma shtaka hilo Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo, Rehema Mayagilo amesema kuwa mbunge huyo na washtakiwa hao wawili wanashtakiwa kwa madai ya kumtusi na kutishia kumuua diwani huyo.

Hakimu Mayagilo amesema kuwa Msigwa na wenzake walitenda kosa hilo jana saa nane mchana katika viunga vya Ofisi za Halimashauri ya Manispaa ya Iringa.

Baada ya kusomewa shtaka hilo Msigwa na wenzake wamepata dhamana na kesi hiyo imeahirishwa hadi Oktober 9 mwaka huu itakapotajwa tena.


Hivyo makala Mchungaji Msigwa afikishwa mahakamani kwa Matusi na Kutishia Kuua

yaani makala yote Mchungaji Msigwa afikishwa mahakamani kwa Matusi na Kutishia Kuua Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mchungaji Msigwa afikishwa mahakamani kwa Matusi na Kutishia Kuua mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mchungaji-msigwa-afikishwa-mahakamani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mchungaji Msigwa afikishwa mahakamani kwa Matusi na Kutishia Kuua"

Post a Comment