Mbowe: Hali ya Tundu Lissu ni Mbaya Sana

Mbowe: Hali ya Tundu Lissu ni Mbaya Sana - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mbowe: Hali ya Tundu Lissu ni Mbaya Sana, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mbowe: Hali ya Tundu Lissu ni Mbaya Sana
kiungo : Mbowe: Hali ya Tundu Lissu ni Mbaya Sana

soma pia


Mbowe: Hali ya Tundu Lissu ni Mbaya Sana

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amepigwa risasi leo Alhamisi nyumbani kwake na kwamba hali yake ni mbaya.

Lissu, ambaye ni mwanasheria mkuu wa Chadema kwa sasa amepelekwa chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya Dodoma.

Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah, wabunge na viongozi wengine wa ulinzi wa Bunge wamefika katika hospitali hiyo kujua kinachoendelea.

Baadhi ya ndugu na wagonjwa wamefurika katika chumba cha upasuaji cha hospitali ya mkoa wakitafakari, huku wengine wakilia.

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Charles Kihologwe amewataka watu hao kukaa mbali na chumba cha upasuaji lakini wengi wanakataa wakisema hawamwamini mtu yeyote.

Asubuhi, Lissu alihudhuria kikao cha Bunge na aliomba mwongozo wa Naibu Spika akihoji kuhusu taarifa za kamati zilizoundwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai kutathmini mfumo wa uchimbaji, usimamizi, umiliki na udhibiti wa madini ya Tanzanite na almasi kuwasilishwa kwa Waziri Mkuu badala ya kujadiliwa na Bunge kwanza.


Hivyo makala Mbowe: Hali ya Tundu Lissu ni Mbaya Sana

yaani makala yote Mbowe: Hali ya Tundu Lissu ni Mbaya Sana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mbowe: Hali ya Tundu Lissu ni Mbaya Sana mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mbowe-hali-ya-tundu-lissu-ni-mbaya-sana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mbowe: Hali ya Tundu Lissu ni Mbaya Sana"

Post a Comment