MATUKIO YA BUNGENI LEO.

MATUKIO YA BUNGENI LEO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO YA BUNGENI LEO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO YA BUNGENI LEO.
kiungo : MATUKIO YA BUNGENI LEO.

soma pia


MATUKIO YA BUNGENI LEO.

 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akijibu miongozo ya wabunge  mara baada ya kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni mjini Dodoma.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akitoa maelezo kuhusu matumizi ya silaha   za jadi hapa nchini na hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuzuia uzagaaji wa silaha hizo.
 Wzairi wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Gerson Lwenge akitoa ufafanuzi kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuhakikisha kuwa wananchi katika Wilaya ya Ngara wanapata huduma za maji.
 Naibu   Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia  injinia  Stella Manyanya akitoa  ufafanuzi kuhusu  jinsi  Serikali ilivyofanikiwa  katika   mpango wa elimu bure  hapa nchini.
Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Tate Ole Nasha akizungumzia mkakati wa Serikali kuhakikisha kuwa Maafisa ugani katika maeneo yote hapa nchini  wanatekeleza majukumu yao ipasavyo katika kuwahudumia wananchi.(Picha na Frank Mvungi- Maelezo Dodoma)


Hivyo makala MATUKIO YA BUNGENI LEO.

yaani makala yote MATUKIO YA BUNGENI LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO YA BUNGENI LEO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/matukio-ya-bungeni-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO YA BUNGENI LEO."

Post a Comment