title : RC MAKONDA ATEMBELEA ENEO LILILOTENGWA KWA AJILI YA KUUZIA MAGARI (SHOW ROOM) LEO.
kiungo : RC MAKONDA ATEMBELEA ENEO LILILOTENGWA KWA AJILI YA KUUZIA MAGARI (SHOW ROOM) LEO.
RC MAKONDA ATEMBELEA ENEO LILILOTENGWA KWA AJILI YA KUUZIA MAGARI (SHOW ROOM) LEO.
.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Mkonda (kulia)akikagua eneo lililotengwa kwa ajili ya kuuza magari (Show Room) kwa jiji Dar es Salaam lililopo Kigamboni-Kisarawe leo jiijini Dar es Salaam, ambapo show room zilizo katika sehemu mbalimbali zinatakiwa kwenda katika eneo hilo na hawatalipa kodi ya maeneo hayo ndani ya miaka mitatu.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Mkonda akizungumza mara ya baada ya kukagua eneo la lililotengwa kwa ajili kuuzia magari Kigamboni –Kisarawe jijini Dar es Salaam.
Muonekano wa eneo hilo lililotengwa kwa ajili kuuzia magari Kigamboni –Kisarawe jijini Dar es Salaam.picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
Hivyo makala RC MAKONDA ATEMBELEA ENEO LILILOTENGWA KWA AJILI YA KUUZIA MAGARI (SHOW ROOM) LEO.
yaani makala yote RC MAKONDA ATEMBELEA ENEO LILILOTENGWA KWA AJILI YA KUUZIA MAGARI (SHOW ROOM) LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA ATEMBELEA ENEO LILILOTENGWA KWA AJILI YA KUUZIA MAGARI (SHOW ROOM) LEO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/rc-makonda-atembelea-eneo-lililotengwa.html
0 Response to "RC MAKONDA ATEMBELEA ENEO LILILOTENGWA KWA AJILI YA KUUZIA MAGARI (SHOW ROOM) LEO."
Post a Comment