title : RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI MJINI ZANZIBAR LEO
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI MJINI ZANZIBAR LEO
RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI MJINI ZANZIBAR LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakitembea kwenye mitaa ya Stone Town mjini Zanzibar wakielekea katika kanisa la Mtakatifu Joseph Parokia ya Minara Miwili kwa ajili ya ibada ya Jumapili leo Oktoba 15, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakipokewa na Askofu Augustine Shayo walipowasili katika kanisa la Mtakatifu Joseph Parokia ya Minara Miwili kwa ajili ya ibada ya Jumapili leo Oktoba 15, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika kanisa la Mtakatifu Joseph Parokia ya Minara Miwili kwa wakishiriki ibada ya Jumapili leo Oktoba 15, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika kanisa la Mtakatifu Joseph Parokia ya Minara Miwili kwa wakishiriki ibada ya Jumapili leo Oktoba 15, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa na Askofu Augustine Shayo katika kanisa la Mtakatifu Joseph Parokia ya Minara Miwili ambako alishiriki ibada ya Jumapili leo Oktoba 15, 2017.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Janeth Magufuli akiombewa na Askofu Augustine Shayo katika kanisa la Mtakatifu Joseph Parokia ya Minara Miwili ambako alishiriki ibada ya Jumapili leo Oktoba 15, 2017Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI MJINI ZANZIBAR LEO
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI MJINI ZANZIBAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI MJINI ZANZIBAR LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/rais-dkt-magufuli-ashiriki-ibada-ya.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI MJINI ZANZIBAR LEO"
Post a Comment