title : KAMPUNI MPYA YA USAMBAZAJI WA KAZI ZA WASANII YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR LEO
kiungo : KAMPUNI MPYA YA USAMBAZAJI WA KAZI ZA WASANII YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR LEO
KAMPUNI MPYA YA USAMBAZAJI WA KAZI ZA WASANII YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR LEO
Jengo la Kampuni mpya ya usambazaji wa kazi za wasanii wa Bongo Movie, lililopo Kinondoni Hananasifu, Jijini Dar es salaam. Uongozi wa Kampuni hiyo umefanya Uzinduzi wake rasmi jioni hii na kuhudhuliwa na Wasanii mbalimbali pamoja na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini.
Muonekani wa Jengo hilo kwa mbele.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Treeo Tabasamu, Ritchie Mtambalike akizungumza katika Uzinduzi rasmi wa Kampuni hiyo, jioni hii katika ofisi zao, Kinondoni Hananasifu, Jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Kitengo za Masoko wa Kampuni ya Treeo Tabasamu, Jacob Steven (JB) akizungumza katika Uzinduzi rasmi wa Kampuni hiyo, jioni hii katika ofisi zao, Kinondoni Hananasifu, Jijini Dar es salaam.
Hivyo makala KAMPUNI MPYA YA USAMBAZAJI WA KAZI ZA WASANII YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR LEO
yaani makala yote KAMPUNI MPYA YA USAMBAZAJI WA KAZI ZA WASANII YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI MPYA YA USAMBAZAJI WA KAZI ZA WASANII YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/kampuni-mpya-ya-usambazaji-wa-kazi-za.html
0 Response to "KAMPUNI MPYA YA USAMBAZAJI WA KAZI ZA WASANII YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR LEO"
Post a Comment