title : Mwenyekiti wa Bodi TanTrade Eng. Christopher Chiza atembele mipaka ya Tanzania na Burundi
kiungo : Mwenyekiti wa Bodi TanTrade Eng. Christopher Chiza atembele mipaka ya Tanzania na Burundi
Mwenyekiti wa Bodi TanTrade Eng. Christopher Chiza atembele mipaka ya Tanzania na Burundi
Mwenyekiti wa Bodi TanTrade Eng. Christopher Chiza akiongea na Waandishi wa Habari katika Mpaka wa Mabamba Wilayani Kibondo, Kigoma baada ya kumaliza ziara ya siku nne ya kutembelea Mipaka mitano ya Tanzania na Burundi iliyopo Mkoani Kigoma.
Lengo la ziara hii lilikuwa la kukutana na Taasisi za Serikali na Wafanyabiashara kujadili mpango wa kuwekeza miundombinu ya kurasimisha biashara ya Mpakani na kuhamasisha ushiriki katika Kongamano na Maonesho ya Tanzania Bujumbura Burundi yatakayofanyika kuanzia tarehe 27.09 mpaka tarehe 1.10.2017. Karibuni sana tushiriki katika matukio haya ya muhimu ya kihistoria.
Hivyo makala Mwenyekiti wa Bodi TanTrade Eng. Christopher Chiza atembele mipaka ya Tanzania na Burundi
yaani makala yote Mwenyekiti wa Bodi TanTrade Eng. Christopher Chiza atembele mipaka ya Tanzania na Burundi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwenyekiti wa Bodi TanTrade Eng. Christopher Chiza atembele mipaka ya Tanzania na Burundi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mwenyekiti-wa-bodi-tantrade-eng.html
0 Response to "Mwenyekiti wa Bodi TanTrade Eng. Christopher Chiza atembele mipaka ya Tanzania na Burundi"
Post a Comment