JAJI ALIYEPIGA CHINI USHINDI WA RAIS KENYATTA KUONDOLEWA MADARAKANI.

JAJI ALIYEPIGA CHINI USHINDI WA RAIS KENYATTA KUONDOLEWA MADARAKANI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAJI ALIYEPIGA CHINI USHINDI WA RAIS KENYATTA KUONDOLEWA MADARAKANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAJI ALIYEPIGA CHINI USHINDI WA RAIS KENYATTA KUONDOLEWA MADARAKANI.
kiungo : JAJI ALIYEPIGA CHINI USHINDI WA RAIS KENYATTA KUONDOLEWA MADARAKANI.

soma pia


JAJI ALIYEPIGA CHINI USHINDI WA RAIS KENYATTA KUONDOLEWA MADARAKANI.

Image result for David Maraga.Mbunge wa chama tawala cha Jubilee nchini Kenya amewasilisha ombi la kutaka kufutwa kazi kwa jaji mkuu David Maraga.

Mbunge huyo wa Nyeri, Njiri Wambugu amewasilisha ombi lake mbele ya tume ya huduma za majaji akidai kwamba jaji Maraga alihusika katika kufanya makosa.Image result for David Maraga.
Akihutubia vyombo vya habari, mbunge huyo anadai kwamba Jaji huyo''aliwashinikiza'' wenzake kubatilisha matokeo ya uchaguzi wa rais Uhuu Kenyatta wakati alipotoa uamuzi wa kihistoria mnamo tarehe 1 Septemba.
Wambugu amefananisha ubatilishwaji wa matokeo hayo ya urais na mapinduzi ya majaji na sasa anataka nia ya jaji Maraga kuchunguzwa.
Image result for David Maraga.
Wabunge wa chama cha Jubilee na rais Uhuru Kenyatta wamekuwa wakiukosoa uamuzi wa kufutilia mbali uchaguzi huo na wameendelea na kuwataja majaji hao kuwa ''wakora''.
Naibu wa rais William Ruto amesema kuwa baada ya kukamilika kwa uchaguzi wa urais wa Oktoba 17, uamuzi huo wa majaji na sababu zao utaangaziwa upya.


Hivyo makala JAJI ALIYEPIGA CHINI USHINDI WA RAIS KENYATTA KUONDOLEWA MADARAKANI.

yaani makala yote JAJI ALIYEPIGA CHINI USHINDI WA RAIS KENYATTA KUONDOLEWA MADARAKANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAJI ALIYEPIGA CHINI USHINDI WA RAIS KENYATTA KUONDOLEWA MADARAKANI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/jaji-aliyepiga-chini-ushindi-wa-rais.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAJI ALIYEPIGA CHINI USHINDI WA RAIS KENYATTA KUONDOLEWA MADARAKANI."

Post a Comment