CCM Wampongeza Mbunge wao wa CCM aliyekodi ndege Ya Kumsafirisha Tundu Lissu

CCM Wampongeza Mbunge wao wa CCM aliyekodi ndege Ya Kumsafirisha Tundu Lissu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CCM Wampongeza Mbunge wao wa CCM aliyekodi ndege Ya Kumsafirisha Tundu Lissu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CCM Wampongeza Mbunge wao wa CCM aliyekodi ndege Ya Kumsafirisha Tundu Lissu
kiungo : CCM Wampongeza Mbunge wao wa CCM aliyekodi ndege Ya Kumsafirisha Tundu Lissu

soma pia


CCM Wampongeza Mbunge wao wa CCM aliyekodi ndege Ya Kumsafirisha Tundu Lissu

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza mwanachama wake aliyejitolea kudhamini ndege iliyomsafirisha Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu kwenda jijini Nairobi nchini Kenya kwaajili ya matibabu.

Katika taarifa hiyo, imesema kuwa wamechukua hatua hiyo ya kumpongeza Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Salim Hassan Turky kwa kuonyesha upendo, utu na mshikamano na kuweka kando tofauti za kisiasa.

“Kwa dhati kabisa tunampongeza mwanachama wetu na mbunge wa Jimbo la Mpendae, kwa kuonyesha utu na kuweka kando itikadi za kivyama kumsaidia Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu,” amesema Polepole kupitia taarifa hiyo

Hata hivyo, Polepole ameongeza kuwa wameamua kumpongeza mbunge huyo kwa kuonyesha uzalendo wa hali ya juu, kwani katika matatizo ni vyema itikadi za kisiasa zikawekwa pembeni ili kuweza kutatua kile ambacho kinakuwa kinawakabili.



Hivyo makala CCM Wampongeza Mbunge wao wa CCM aliyekodi ndege Ya Kumsafirisha Tundu Lissu

yaani makala yote CCM Wampongeza Mbunge wao wa CCM aliyekodi ndege Ya Kumsafirisha Tundu Lissu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CCM Wampongeza Mbunge wao wa CCM aliyekodi ndege Ya Kumsafirisha Tundu Lissu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/ccm-wampongeza-mbunge-wao-wa-ccm.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CCM Wampongeza Mbunge wao wa CCM aliyekodi ndege Ya Kumsafirisha Tundu Lissu"

Post a Comment