Matukio ya Picha Kisiwani Pemba

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio ya Picha Kisiwani Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio ya Picha Kisiwani Pemba
kiungo : Matukio ya Picha Kisiwani Pemba

soma pia


Matukio ya Picha Kisiwani Pemba

 WAZIRI wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Balozi Ali Karume, akiwapungia mikono vijana wakati walipokuwa akipokea maandamano ya vijana, yalioanzia Machomanne hadi Uwanja wa Gombani mjini Chake Chake
AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab akizungumza wakati wa siku ya Vijana duniani huko katika uwanja wa michezo Gombani.
WAZIRI wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Balozi Ali karume, akizungumza na vijana mbali mbali wa kisiwa cha Pemba katika shamra shamra kuelekea siku ya Vijana Duniani huko katika viwanja vya Gombani Chake Chake Pemba.
 (Picha na Abdi Suleiman - Pemba)


Hivyo makala Matukio ya Picha Kisiwani Pemba

yaani makala yote Matukio ya Picha Kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio ya Picha Kisiwani Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/matukio-ya-picha-kisiwani-pemba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio ya Picha Kisiwani Pemba"

Post a Comment