DIAMOND NA ZARI WATIBUANA MPAKA ZARI KUCOMMENT KIDOLE CHA KATI

DIAMOND NA ZARI WATIBUANA MPAKA ZARI KUCOMMENT KIDOLE CHA KATI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DIAMOND NA ZARI WATIBUANA MPAKA ZARI KUCOMMENT KIDOLE CHA KATI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DIAMOND NA ZARI WATIBUANA MPAKA ZARI KUCOMMENT KIDOLE CHA KATI
kiungo : DIAMOND NA ZARI WATIBUANA MPAKA ZARI KUCOMMENT KIDOLE CHA KATI

soma pia


DIAMOND NA ZARI WATIBUANA MPAKA ZARI KUCOMMENT KIDOLE CHA KATI

Kimenuka Diamond Azidi Kumpandisha Presha Zari

Siku ya September 14, 2017 mpiga picha maarufu wa Diamond Platnumz, Kifesi alipost picha ya boss wake Diamond kwenye ukurasa wake wa instagram Picha ambayo alimpiga yeye, baada ya post hiyo mzazi mwenza na mpenzi wa Diamond Platnumz, Zari the Boss Lady akakoment kwenye post hiyo kwa kuweka emoji ya kidole cha kati.

Baada ya Zari kukomenti hivyo mashabiki wakahusisha hilo na swala ambalo Diamond anadaiwa ya kuwa yupo Zanzibar na mshindi wa Big Brother mwaka 2013 anayetokea Namibia, Dilish Methew huku ikisemekana wawili hao wanatoka kimapenzi kitu kilichomfanya Zari akomenti vile kwenye picha ya kifesi aliyompost Diamond.


Hivyo makala DIAMOND NA ZARI WATIBUANA MPAKA ZARI KUCOMMENT KIDOLE CHA KATI

yaani makala yote DIAMOND NA ZARI WATIBUANA MPAKA ZARI KUCOMMENT KIDOLE CHA KATI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DIAMOND NA ZARI WATIBUANA MPAKA ZARI KUCOMMENT KIDOLE CHA KATI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/diamond-na-zari-watibuana-mpaka-zari.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DIAMOND NA ZARI WATIBUANA MPAKA ZARI KUCOMMENT KIDOLE CHA KATI"

Post a Comment