Huu Hapa Ushauri wa Ali Kiba Kwa Bongo Movie

Huu Hapa Ushauri wa Ali Kiba Kwa Bongo Movie - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Huu Hapa Ushauri wa Ali Kiba Kwa Bongo Movie, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Huu Hapa Ushauri wa Ali Kiba Kwa Bongo Movie
kiungo : Huu Hapa Ushauri wa Ali Kiba Kwa Bongo Movie

soma pia


Huu Hapa Ushauri wa Ali Kiba Kwa Bongo Movie


Msanii Alikiba ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake mpya 'Seduce me' ameamisha mashambulizi yake upande wa bongo movie na kuwaambia hali mbaya waliyokuwa nayo katika kipindi hiki ni kutokana na kutokuwa na umoja baina yao.

Alikiba ameeleza hayo baada ya kuwepo tetesi ya baadhi ya wasanii wa bongo movie kuwa wanashindwa kusaidiana katika kazi zao na kuogopana jambo ambalo linaleta makundi kati yao na kuwafanya kushindwa kuwa kitu kimoja.

"Mimi siku zote nitawapigania bongo movie kwa sababu wakishafanya kazi zao na kuzipeleka sokoni kwa ajili ya kufanya mauzo ndiyo basi tena lakini sisi wanamuziki tunauwezo wa kufanya 'show' ambazo zitatulinda sisi hata kama wananchi wamesikiliza ngoma zetu na kuzi-download bila malipo hatuwezi kupata hasara kwa kuwa tunategemea show ambazo ndiyo zinalipa, kwa hiyo umoja ni kitu cha msingi sana na ndiyo maana wenzetu wa Nigeria wanasaidiana katika mambo yao na siyo kwamba wanaogopana", amesema Alikiba.

Pamoja na hayo, Alikiba aliendelea kwa kusema "Mimi binafsi ningefurahi sana kama wasanii tungekuwa na umoja, sisi ni wamoja siyo lazima mpaka tukutanishwe kwenye janga fulani!", amesisitiza Alikiba.




Kwa upande mwingine, Alikiba aliendelea kuwashauri wasanii wenzake kuendelea kusaidiana kwa kuwa ni jambo zuri ambalo anaamini litaweza kuwatoa sehemu moja na kwenda sehemu nyingine kwa wasanii wote kwa ujumla bila ya kujali aina ya kazi anazozifanya.


Hivyo makala Huu Hapa Ushauri wa Ali Kiba Kwa Bongo Movie

yaani makala yote Huu Hapa Ushauri wa Ali Kiba Kwa Bongo Movie Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Huu Hapa Ushauri wa Ali Kiba Kwa Bongo Movie mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/huu-hapa-ushauri-wa-ali-kiba-kwa-bongo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Huu Hapa Ushauri wa Ali Kiba Kwa Bongo Movie"

Post a Comment