title : Mkokoteni wabeba daladala
kiungo : Mkokoteni wabeba daladala
Mkokoteni wabeba daladala
Daladala likiwa limebebwa kwenye mkokoteni likitoka maeneo ya Dodoma Inn kuelekea barabara ya Dar es salaam mjini Dodoma Novemba 2, 2017. Licha ya kusababisha mshangao kwa watuomiaji wa barabara pia lilisababisha msongamano wa magari. Picha na Hilary Bujiku wa Ofisi ya Waziri Mkuu
Hivyo makala Mkokoteni wabeba daladala
yaani makala yote Mkokoteni wabeba daladala Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mkokoteni wabeba daladala mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mkokoteni-wabeba-daladala.html
0 Response to "Mkokoteni wabeba daladala"
Post a Comment