HII KALI! Wamesafiri kutoka India hadi Marekani kumpiga mkwe wao

HII KALI! Wamesafiri kutoka India hadi Marekani kumpiga mkwe wao - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HII KALI! Wamesafiri kutoka India hadi Marekani kumpiga mkwe wao, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HII KALI! Wamesafiri kutoka India hadi Marekani kumpiga mkwe wao
kiungo : HII KALI! Wamesafiri kutoka India hadi Marekani kumpiga mkwe wao

soma pia


HII KALI! Wamesafiri kutoka India hadi Marekani kumpiga mkwe wao



Wanandoa wawili wenye asili ya India Jasbir mwenye mika 67 na mkewe Bhupinder Kalsi mwenye miaka 61 pamoja na mtoto wao wa kiume Devbir Kalsi mwenye umri wa miaka 33, wanashikiliwa na Polisi Marekani baada ya wanandoa hao kusafiri kutoka India hadi Florida, Marekani kwa lengo la kumpiga mke wa mtoto wao huyo kwa sababu si mtiifu kwao.
Mwanamke huyo anayeitwa Silky Gaind, 33, alipiga simu kwa wazazi wake walioko India na Polisi kuwajulisha kuwa amefungiwa ndani na anapigwa na mumewe na wakwe zake ndipo Polisi walipofika eneo hilo kumwokoa ambapo alikuwa anapigwa akiwa na mtoto wake.
Kwa mujibu wa Polisi walipofika eneo hilo walikuta mlango umefungwa na kuamua kuuvunja na walipoingia ndani waliwakuta watatu hao wakimshambulia mwanamke huyo huku taarifa zikieleza kuwa ni tabia ya mwanamme huyo kumpiga mkewe na wakati huu akaamua kuomba msaada wa wazazi wake.


Hivyo makala HII KALI! Wamesafiri kutoka India hadi Marekani kumpiga mkwe wao

yaani makala yote HII KALI! Wamesafiri kutoka India hadi Marekani kumpiga mkwe wao Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HII KALI! Wamesafiri kutoka India hadi Marekani kumpiga mkwe wao mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/hii-kali-wamesafiri-kutoka-india-hadi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HII KALI! Wamesafiri kutoka India hadi Marekani kumpiga mkwe wao"

Post a Comment