DEREVA NA FUNDI WAKE WATUSUA MAPENE YA VODACOM MCHANA KWEUPEEEEEE

DEREVA NA FUNDI WAKE WATUSUA MAPENE YA VODACOM MCHANA KWEUPEEEEEE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DEREVA NA FUNDI WAKE WATUSUA MAPENE YA VODACOM MCHANA KWEUPEEEEEE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DEREVA NA FUNDI WAKE WATUSUA MAPENE YA VODACOM MCHANA KWEUPEEEEEE
kiungo : DEREVA NA FUNDI WAKE WATUSUA MAPENE YA VODACOM MCHANA KWEUPEEEEEE

soma pia


DEREVA NA FUNDI WAKE WATUSUA MAPENE YA VODACOM MCHANA KWEUPEEEEEE

Mshindi wa Promosheni ya Tusua Mapene, Abdallah Mwalemba ambaye ni dereva wa magari makubwa, akipokea kitita cha Shilingi Milioni 7/- toka kwa Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Matina Nkurlu (kulia)wakati wa hafla fupi iliyofanyika Dar es Salaam leo.Katikati ni Meneja wa Vodashop Tawi la Mlimani City, Vanessa Mlawi, Ili Mteja aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Matina Nkurlu (kulia) akimkabidhi mshindi wa Promosheni ya Tusua Mapene, Octavian Ngosongo ambaye ni fundi magari wa Mabibo jijini Dares Salaam, kiasi cha fedha taslimu Sh. milioni 2/- alizojishindia kupitia promosheni hiyo, Dar es Salaam leo.Katikati ni Meneja wa Vodashop Tawi la Mlimani City, Vanessa Mlawi,Ili Mteja aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
Washindi wa Promosheni ya Tusua Mapene inayoendeshwa na Vodacom Tnzania PLC, Octavian Ngosongo (kushoto) na Abdallah Mwalemba,wakipongezwa kwa kupigiwa makofi na Meneja wa Vodashop Tawi la Mlimani City,Vanessa Mlawi(katikati)baada ya kukabidhiwa vitita vyao na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Matina Nkurlu (kulia), Dar es Salaam leo walivyojishindia kupitia promosheni hiyo, Ili Mteja aweze kushiriki kwenye promosheni hii anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.


Hivyo makala DEREVA NA FUNDI WAKE WATUSUA MAPENE YA VODACOM MCHANA KWEUPEEEEEE

yaani makala yote DEREVA NA FUNDI WAKE WATUSUA MAPENE YA VODACOM MCHANA KWEUPEEEEEE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DEREVA NA FUNDI WAKE WATUSUA MAPENE YA VODACOM MCHANA KWEUPEEEEEE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/dereva-na-fundi-wake-watusua-mapene-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DEREVA NA FUNDI WAKE WATUSUA MAPENE YA VODACOM MCHANA KWEUPEEEEEE"

Post a Comment