MEYA WA JIJI LA TANGA APOKEA VIFAA TIBA KUTOKA KUWAIT

MEYA WA JIJI LA TANGA APOKEA VIFAA TIBA KUTOKA KUWAIT - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MEYA WA JIJI LA TANGA APOKEA VIFAA TIBA KUTOKA KUWAIT, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MEYA WA JIJI LA TANGA APOKEA VIFAA TIBA KUTOKA KUWAIT
kiungo : MEYA WA JIJI LA TANGA APOKEA VIFAA TIBA KUTOKA KUWAIT

soma pia


MEYA WA JIJI LA TANGA APOKEA VIFAA TIBA KUTOKA KUWAIT

Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al-Najem amezindua visima sita vya maji safi na salama mwisho wa wiki katika Mkoa wa tanga ikiwemo shule ya Old Tanga Secondary School ,vilivyochimbwa na Jumuiya ya Direct Aid ya Kuwait ikiwa ni mwendelezo wa mradi ulioanzishwa na Ubalozi wa Kuwait nchini unaofahamika kwa jina la “KISIMA CHA MAJI KATIKA KILA SHULE”, uzinduzi ambao ulihudhuriwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Mhina Mustapha Selebosi, walimu, wanafunzi na wadau mbalimbali.

Aidha Balozi wa Kuwait alitembelea kituo cha afya cha Ngamiani ambapo alimkabidhi Mstahiki Meya wa Tanga mabeseni 50 yenye vifaa tiba kwa ajili ya akina mama wajawazito na watoto wachanga, mabeseni ambayo ni msaada kutoka taasisi ya Red Crescent ya Kuwait. Akiwa mjini Tanga Balozi Al-Najem alihudhuria mahafali ya kuhitimu wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Kheri ya wanawake.

Kwa upande wake Meya wa Tanga aliushukuru Ubalozi wa Kuwait nchini kwa msaada huo na akamuomba Balozi wa Kuwait pia aweze kusaidia katika shule za jiji hilo 98 za msingi na 32 za sekondari Rkupata huduma ya visima vya maji.
Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al-Najem (kushoto) akimkabidhi mabeseni 50 yenye vifaa tiba kwa ajili ya akina mama wajawazito na watoto wachanga, Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Mhina Mustapha Selebosi ,kulia 
Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al-Najem atia saini katika kitabu cha wageni mara alipowasili katika uzinduzi wa Kisima 
Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al-Najem akizungumza wakati wa uzinduzi huo
Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al-Najem amezindua visima sita vya maji safi na salama katika Mkoa wa Tanga mwisho wa wiki,ikiwemo shule ya Old Tanga Secondary School vilivyochimbwa na Jumuiya ya Direct Aid ya Kuwait ikiwa ni mwendelezo wa mradi ulioanzishwa na Ubalozi huo.



Hivyo makala MEYA WA JIJI LA TANGA APOKEA VIFAA TIBA KUTOKA KUWAIT

yaani makala yote MEYA WA JIJI LA TANGA APOKEA VIFAA TIBA KUTOKA KUWAIT Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MEYA WA JIJI LA TANGA APOKEA VIFAA TIBA KUTOKA KUWAIT mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/meya-wa-jiji-la-tanga-apokea-vifaa-tiba.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MEYA WA JIJI LA TANGA APOKEA VIFAA TIBA KUTOKA KUWAIT"

Post a Comment