DC MSHAMA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAVAMIZI WA MSITU WA DUTUMI KUONDOKA

DC MSHAMA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAVAMIZI WA MSITU WA DUTUMI KUONDOKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MSHAMA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAVAMIZI WA MSITU WA DUTUMI KUONDOKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MSHAMA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAVAMIZI WA MSITU WA DUTUMI KUONDOKA
kiungo : DC MSHAMA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAVAMIZI WA MSITU WA DUTUMI KUONDOKA

soma pia


DC MSHAMA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAVAMIZI WA MSITU WA DUTUMI KUONDOKA

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Assumpter Mshama  ametoa mwezi mmoja kwa wavamizi wa eneo la hifadhi ya msitu wa Dutumi kuondoka mara moja ifikapo Oktoba 4 mwaka huu.

DC Assumpter amesema hayo baada ya kwenda kuutembelea msitu huo eneo la Tengefu la hifadhi lililopo katika Mkoa wa Pwani baada ya kupata taarifa kuwa kuna watu ambao wamevamia na wameweka makazi katika eneo hilo isivyo rasmi.

Akizungumza na waandishi wa habari  katika eneo hilo DC Assumpter  amesema kuwa ndani ya msitu huo kuna watu kutoka katika mikoa mbalimbali jumla ya wananchi 3,000 ambao wanaishi ndani ya msitu huo huku wakifanya uharibifu wa kukata miti hovyo na kuichoma kwa lengo la kufanya biashara ya kuchoma mkaa bila ya kuwa na vibali halali kutoka serikalini.
 Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Assumpter Mshama akizungumza na wakazi waliovamia eneo la hifadhi ya msitu wa Dutumi mara baada ya kukagua msitu huo na kukuta uharibifu mkubwa ndani ya Msitu huo.
 Mkuu wa Wilaya Assumpter akimshika mtoto mmoja wapo anayeishi  na wazazi wake kwenye kambi ya watu wanaokata misitu na kuchoma mkaa , hapo alikuwa akiwauliza wazazi hao kuwa hawawatendei haki watoto wao kwani ndani ya kambi hizo hakuna mahitaji muhimu kama hispitali, shule, maji safi  pamoja na malazi yenye hadhi ya kuishi binaadamu
Sehemu ya msitu wa Dutumi ambao umefyekwa miti yote mikubwa na wananchi waliovamia msitu huo



Hivyo makala DC MSHAMA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAVAMIZI WA MSITU WA DUTUMI KUONDOKA

yaani makala yote DC MSHAMA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAVAMIZI WA MSITU WA DUTUMI KUONDOKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MSHAMA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAVAMIZI WA MSITU WA DUTUMI KUONDOKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/dc-mshama-atoa-mwezi-mmoja-kwa-wavamizi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MSHAMA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAVAMIZI WA MSITU WA DUTUMI KUONDOKA"

Post a Comment