JWTZ KUADHIMISHA MIAKA 54 SEPTEMBA I, WATANZANIA WAASWA KUJITOKEZA KUFANYA USAFI.

JWTZ KUADHIMISHA MIAKA 54 SEPTEMBA I, WATANZANIA WAASWA KUJITOKEZA KUFANYA USAFI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JWTZ KUADHIMISHA MIAKA 54 SEPTEMBA I, WATANZANIA WAASWA KUJITOKEZA KUFANYA USAFI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JWTZ KUADHIMISHA MIAKA 54 SEPTEMBA I, WATANZANIA WAASWA KUJITOKEZA KUFANYA USAFI.
kiungo : JWTZ KUADHIMISHA MIAKA 54 SEPTEMBA I, WATANZANIA WAASWA KUJITOKEZA KUFANYA USAFI.

soma pia


JWTZ KUADHIMISHA MIAKA 54 SEPTEMBA I, WATANZANIA WAASWA KUJITOKEZA KUFANYA USAFI.

Na Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka watanzania wenye mapenzi mema kuungana na Jeshi hilo katika kuadhimisha siku adhimu ya kuanzishwa kwake septemba I mwaka huu  kwa kujitokeza kufanya usafi katika maeneo wanayoishi ili kuhakikisha yanakuwa katika hali ya usafi.

JWTZ Septemba I mwaka huu linashimisha miaka 54 tangu lilipoanzishwa mwaka I964 baada ya kubadilishwa jina kutoka Tanganyika Rifle (RT) kuwa Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano JWTZ Kanali Ramadhani Dogoli, amesema kuwa katika maadhimisho ya mwaka huu jeshi limeanza kufanya shughuli mbalimbali za usafi katika maeneo ya kambi zote hapa nchini.

"Kuna Michezo mbalimbali vikosini ambapo michezo mengine itakuwa baina ya timu za Jeshi na zile za uraiani, tayari shughuli hizi zimeanza kufanyika tangu Agosti 27 mwaka huu na zinaendelea hadi siku ya kilele septemba I" amesema Kanali Dogoli.

Ameeleza kuwa michezo ambayo inaendelea kuchezwa ni pamoja na mpira wa miguu, Mpira wa Pete, wavu golf pamoja na Michezo mengine kama ilivyoratibiwa na kamandi za jeshi.

Katika hatua nyengine Kanali Dogoli amefafanua kuwa JWTZ linaendelea kutekeleza majukumu yake kwa vitendo katika kuhakikisha nchi ya Tanzania inaendelea kuwa na amani kwa kudumisha ulinzi katika mipaka yote.

"Tunaendelea kufanya kazi zetu kwa nidhamu katika kipindi chote cha utendaji wete" amesema Kanali Dogoli.


Hivyo makala JWTZ KUADHIMISHA MIAKA 54 SEPTEMBA I, WATANZANIA WAASWA KUJITOKEZA KUFANYA USAFI.

yaani makala yote JWTZ KUADHIMISHA MIAKA 54 SEPTEMBA I, WATANZANIA WAASWA KUJITOKEZA KUFANYA USAFI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JWTZ KUADHIMISHA MIAKA 54 SEPTEMBA I, WATANZANIA WAASWA KUJITOKEZA KUFANYA USAFI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/jwtz-kuadhimisha-miaka-54-septemba-i.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JWTZ KUADHIMISHA MIAKA 54 SEPTEMBA I, WATANZANIA WAASWA KUJITOKEZA KUFANYA USAFI."

Post a Comment