title : SAFARI YA MWISHO YA MWANAHABARI MKONGWE NA ALIYEWAHI KUWA DC, MAREHEMU MUHINGO RWEYEMAMU
kiungo : SAFARI YA MWISHO YA MWANAHABARI MKONGWE NA ALIYEWAHI KUWA DC, MAREHEMU MUHINGO RWEYEMAMU
SAFARI YA MWISHO YA MWANAHABARI MKONGWE NA ALIYEWAHI KUWA DC, MAREHEMU MUHINGO RWEYEMAMU
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza kabla ya kuongoza waombolezaji katika kuaga mwili wa marehemu, Muhingo Rweyemamu mcahan wa leo kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Marehemu Muhingo Rweyemamu amezikwa leo kwenye makaburi ya Kinondoni.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akitoa neno wakati wa kumuaga Mwandishi wa habari mkongwe nchini, Muhingo Rweyemamu yaliyofanyika leo Uwanja wa Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mtoto wa marehemu akisoma risala.
Mwili wa marehemu mwandishi wa habari mkongwe nchini, Muhingo Rweyemamu ukiwasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala SAFARI YA MWISHO YA MWANAHABARI MKONGWE NA ALIYEWAHI KUWA DC, MAREHEMU MUHINGO RWEYEMAMU
yaani makala yote SAFARI YA MWISHO YA MWANAHABARI MKONGWE NA ALIYEWAHI KUWA DC, MAREHEMU MUHINGO RWEYEMAMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SAFARI YA MWISHO YA MWANAHABARI MKONGWE NA ALIYEWAHI KUWA DC, MAREHEMU MUHINGO RWEYEMAMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/safari-ya-mwisho-ya-mwanahabari-mkongwe.html
0 Response to "SAFARI YA MWISHO YA MWANAHABARI MKONGWE NA ALIYEWAHI KUWA DC, MAREHEMU MUHINGO RWEYEMAMU"
Post a Comment