BREAKING NEWZZ: JPM Awatumbua Ngereja, Muhongo na Simbachawene Sakata la Almasi na Tanzanite

BREAKING NEWZZ: JPM Awatumbua Ngereja, Muhongo na Simbachawene Sakata la Almasi na Tanzanite - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWZZ: JPM Awatumbua Ngereja, Muhongo na Simbachawene Sakata la Almasi na Tanzanite, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWZZ: JPM Awatumbua Ngereja, Muhongo na Simbachawene Sakata la Almasi na Tanzanite
kiungo : BREAKING NEWZZ: JPM Awatumbua Ngereja, Muhongo na Simbachawene Sakata la Almasi na Tanzanite

soma pia


BREAKING NEWZZ: JPM Awatumbua Ngereja, Muhongo na Simbachawene Sakata la Almasi na Tanzanite


Rais Magufuli amewataka viongozi mbalimbali wa serikali ambao wametajwa kwenye ripoti za bunge ya madini ya Almasi na Tanzanite wamepishe nafasi zao ili vyombo vya usalama viweze kufanya kazi yake vizuri kuwachunguza.

Rais Magufuli amesema hayo leo wakati akikabidhiwa ripoti hizo Ikulu jijini Dar es Salaam na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na kusema amesikia baadhi ya viongozi mbalimbali wengine ambao amewateuwa yeye kuwa wameusishwa kwenye wizi huo hivyo amewataka wapishe.
"Wako watu wametajwa tajwa, na wengine mimi ndio nilihusika kuwateua sasa ukishatajwa tajwa, naagiza vyombo vya ulinzi na usalama vifuatilie hili tena kwa haraka, Wale ambao wametajwa tajwa kwenye ripoti hii ambao ni wateule wangu, ili vyombo vya usalama viweze kufanya kazi yake vizuri, ni matumaini yangu watakaa pembeni" alisema Rais Magufuli

Katika ripoti hiyo ambayo iliwasilishwa jana mjini Dodoma na leo kukabidhiwa kwa Rais Magufuli na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa iliweza kuwataja baadhi ya viongozi wa serikali ikiwepo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. George Simbachawene, Waziri wa zamani wa Nishati na Madini na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja pamoja na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.


Hivyo makala BREAKING NEWZZ: JPM Awatumbua Ngereja, Muhongo na Simbachawene Sakata la Almasi na Tanzanite

yaani makala yote BREAKING NEWZZ: JPM Awatumbua Ngereja, Muhongo na Simbachawene Sakata la Almasi na Tanzanite Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZ: JPM Awatumbua Ngereja, Muhongo na Simbachawene Sakata la Almasi na Tanzanite mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/breaking-newzz-jpm-awatumbua-ngereja.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NEWZZ: JPM Awatumbua Ngereja, Muhongo na Simbachawene Sakata la Almasi na Tanzanite"

Post a Comment