Hawa Hapa Wezi Walioiba Gari na Wakarudisha Wakiwa Kama Walivyozaliwa

Hawa Hapa Wezi Walioiba Gari na Wakarudisha Wakiwa Kama Walivyozaliwa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Hawa Hapa Wezi Walioiba Gari na Wakarudisha Wakiwa Kama Walivyozaliwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Hawa Hapa Wezi Walioiba Gari na Wakarudisha Wakiwa Kama Walivyozaliwa
kiungo : Hawa Hapa Wezi Walioiba Gari na Wakarudisha Wakiwa Kama Walivyozaliwa

soma pia


Hawa Hapa Wezi Walioiba Gari na Wakarudisha Wakiwa Kama Walivyozaliwa


Hawa Hapa Wezi Walioiba Gari na Wakarudisha Wakiwa Kama Walivyozaliwa

Ule msemo wa ‘mwizi siku zake ni arobaini’ asubuhi ya leo August 6, 2017 umedhihirika baada ya vijana wawili wanaoripotiwa kuwa wezi wa gari waliloliiba siku za nyuma kulirudisha gari hilo wakiwa uchi wa mnyama na wakionekana kuwa wamerukwa akili jambo lililokusanya umati wa watu kuwashangaa.

Tukio hili lilitokea kwenye mji wa Bamburu Mtambo huko Mombasa Kenya ambapo vijana hao walifika eneo hilo na gari hilo walilokuwa wameliiba Nissan KBV 717Y ya rangi ya silva na kutoka nje ya gari wakiwa uchi, wakiwa wanaongea lugha isiyoeleweka na baadae kuanza kuosha gari hilo kwa matope kabla ya wao kuanza kujipaka matope hayo.

Wakazi wa eneo hilo wameeleza kuwa wanaamini mmiliki wa gari hilo alikwenda kwa mganga wa kienyeji na kuwaroga watu hao kutokana na kuliiba gari lake.


Hivyo makala Hawa Hapa Wezi Walioiba Gari na Wakarudisha Wakiwa Kama Walivyozaliwa

yaani makala yote Hawa Hapa Wezi Walioiba Gari na Wakarudisha Wakiwa Kama Walivyozaliwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Hawa Hapa Wezi Walioiba Gari na Wakarudisha Wakiwa Kama Walivyozaliwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/hawa-hapa-wezi-walioiba-gari-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Hawa Hapa Wezi Walioiba Gari na Wakarudisha Wakiwa Kama Walivyozaliwa"

Post a Comment